Wewe ungejikita kwenye kushauri watu wafanye mazoezi, hizo hoja za kuacha kula chipsi..mara utawachapia wake zao umeharibu mada yako.
Afterall tafiti za kisasa zinaonyesha mafuta ni muhimu zaidi mwilini na yanahitajika kwa wingi..vyakula vya wanga kama wali,ugali,mihogo n.k hii ndio inayosababisha unene wa kupindukia.
Lakini cha mwisho kabisa lazima utambue kuwa BODY SIZE ni CONTINOUS VARIATION, yaani kwa lugha rahisi ni kwamba saizi ya mwili inarithiwa kutoka kwa wazazi, so kuna watu ni wanene tu hata kama wangefanyaje ni wapo hivyo..na wengine ni wembamba tu hta kama wangekula nini hawanenepi na kuwa ba nyama zembe.