Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Hayo siyo mambo yangu kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣Nawataja wala chps maarufu hapa
Gily huyu kinala wao
wa kupuliza huyu chipukizi
zwenge ndaba huyu ana kitambi kama mpira wa simba
Sharamdala huyu anakula mpaka anabeba kwenye sherehe
Binadamu Mtakatifu huyu anapenda chips yai ikaukeee kama makopa
mshamba_hachekwi huyu kaiga kutoka kwa mjomba ake Half american
Ongeeni nao hao wawe makini