Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu, acheni kula chips

Maisha mafupi, acha watu wafurahie maisha.

Hata hao wanao shauri wanajihita madaktari bingwa baadhi yao nao wanashindwa kuwa na ufanisi.

Dawa peke ni supu ya Kitimoto !
Dawa peke ni supu ya Kitimoto!!+mazoezi kidogo inakua poa sana.
 
Mimi sio dogo au na wewe unakitambi na big boot??
Ndio maana nakwambia wewe ni dogo,,, Kula Nyama,,Nyamaza!!!sasa kwa kuwa una akili ndogo na bado ni dogoo unajifanya unakuja na viushauri na kujisifu kitoto humu,,,Dogoo jaribu kukaza kifua hiko kuna mambo si ya kusema wala kujisifu hata kama unayafanya yabaki siri yako wewe na Mungu wako,,,yafanye kwa staha tuu mbona si mapya chini ya jua!!
 
Sawa,,, Babu nimekuelewa.
 
Usile mke wa mtu kisa uzaifu sijui ana kitambi ana matako bwanake Hana Hela ..hiyo haikubaliki heshimu mke wa mwanaume mwenzio kama unavyopenda mke wako aheahimiwe ...Kula mke wa mwenzako ni ujinga mtu mwerevu mwenye akili timamu hawezi shiriki mapenzi na mke wa mtu
 
Wake zenu wanatulilia oh jamaa anakitambi hamfikishi da mambo ni mengi kweli kweli
 
Kama everything is possible jaribu kuumba mwanadamu
Uko umeenda mbali nazungumzia mambo yote yaliyoko chini ya control ya mwanadamu yanawezekana..

Hatuwezi kuumba but tunaeza kuondoa uhai i mean kuua sio kuumba.
 
Back
Top Bottom