Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu, acheni kula chips

Mnaofanya mazoez na kutengeneza body sikuhiz ndio mashoga mnapumuliwa kilasiku huko gym...
Wanaume msidanganyike, chips mayai sausage kuku broiler hawana effect yeyote ktk nguvu za kiume...
Nguvu za kiume ni saikolojia yako tu, ukijiambia unaweza basi utaweza, ukijitia hofu huwez kweli hutaweza...
 
Pole sana kijana
Umepelekewa moto na kijana wa Dar huku ukiwa na matarajio ya juu
 
Tatizo lako hujaelewa thread
Nani kasema mazoezi yanafanyaka gym pekee yake maana ata jogging,pushup ni mazoezi ya kawaida na mtu sio lazima kwenda gym
Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na maarifa kidogo,kitambi kikubwa+ big boot
 
Tatizo lako hujaelewa thread
Nani kasema mazoezi yanafanyaka gym pekee yake maana ata jogging,pushup ni mazoezi ya kawaida na mtu sio lazima kwenda gym
Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na maarifa kidogo,kitambi kikubwa+ big boot
Sawa mke wangu mtam unayefanya mazoez gym kuvutia wanaume tukufirembe
 
Punguza kisirani Dogoo Malayaa!!
 
Kama huna pesa, Wenye nazo watakugongea tu hata uwe na body kama Mwarabu fighter
Ofcorse lakini pesa sio kila kitu
Mazoezi ni muhimu kwa afya yako binafsi ata jogging,pushup sio mbaya unaimara kinga ya mwili.
 
Umetumia lugha kali kidogo mkuu!!.[emoji28] Anyway,
i believe wahusika wamekusikia

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…