THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Mchezaji gani hapa duniani amewahi chagua vikombe akaacha fedha?Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu...
Nimeumia kwanini mzazi wako hakukupeleka shuleVikombe vinakusaidia nini ukiwa kapuku?, hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Usitumie ndevu kuwaza kama mpira hua unaufatilia kupitia wachambuzi huu uzi sio wako.Mchezaji gani hapa duniani amewahi chagua vikombe akaacha fedha?
Nitajie vikombe vinamsaidia nini mchezaji asiye na maisha?Nimeumia kwanini mzazi wako hakukupeleka shule
Acheni chuki zenu kwa huyo kijana, vikombe na medali bila hela vinakusaidia nini? Chukua vikombe wewe ibaki masikini itatosha lakini sio kumpangia mwingineNiliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu...
Hata Ulaya pesa kwanza, vikombe vinafuataangekuwa anacheza ulaya sawa mana mataji ya kule yana hadhi zaidi ila kwa bongo apa cha kwanza ni mshiko.
pesa na ubingwa wa ligi ya Tanzania bara.. bora pesa.
Yani unaweza ukawa unachukua vikombe na huna maisha? Acheni kukuza mamboNitajie vikombe vinamsaidia nini mchezaji asiye na maisha?
Fei alivyokuwa Yanga unadhani alikuwa hapati vikombe?, mbona alivikataa akatafuta maisha kwanza.Yani unaweza ukawa unachukua vikombe na huna maisha? Acheni kukuza mambo
Feisal ameboresha kile alichokua anapokea na sio kwamba hana maisha. Mimi nimesimamia hapo kama hujanielewa.Fei alivyokuwa Yanga unadhani alikuwa hapati vikombe?, mbona alivikataa akatafuta maisha kwanza.
Vikombe ni bonus, ila fedha ndo kitu cha kwanza.
Mfano Denis Nkane ana vikombe ila hawezi mfikia maisha Suleiman Sopu ambaye hana kikombe.
OkFeisal ameboresha kile alichokua anapokea na sio kwamba hana maisha. Mimi nimesimamia hapo kama hujanielewa.
We jamaa vikombe ndivyo vinaleta pesa na bonus kibao.Nitajie vikombe vinamsaidia nini mchezaji asiye na maisha?
Mkuu, mbona umeikuza sana kauli ya Farhan? Kwani yeye ana uzito gani hadi kila anachowaza kuhusu soka kiwe sahihi?Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu...
Unajua mkataba wa Messi akiwa Barcelona, kipengele kimojawapo kilihitaji yeye kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi kuliko wacheza mpira kote duniani.We jamaa vikombe ndivyo vinaleta pesa na bonus kibao.
Tuzo binafsi pia huleta pesa na hizo tuzo zenyewe ni pesa ukiamua kuziuza.
Kina Ronaldo na Messi kawafuatilie UEF zimewapaje hela pamoja na LALIGA.
Kylian Mbape amekataa mabilioni ya hela kwa kukataa kwenda Uarabuni msimu uliopita, kama alivyofanya mchezaji wenzake Neymar! Na badala yake ameona asaini Real Madrid msimu huu ili kuchukua zaidi makombe na tuzo binafsi.Mchezaji gani hapa duniani amewahi chagua vikombe akaacha fedha?
Mbona hauwi specific!?Unajua mkataba wa Messi akiwa Barcelona, kipengele kimojawapo kilihitaji yeye kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi kuliko wacheza mpira kote duniani...