WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Jifunze kwa Harry Kane, dada angu,,,Muacheni apige pesa mna uhakika anahitaji akumbukwe kwa vikombe, pengine anahitaji pesa zaidi familia yake imkumbuke, wangapi hapa wamepata vikombe lakini njaa zimewasumbua, mpira ni mchezo wa muda mfupi, ndani ya muda mchache ni mawili pesa na vikombe, hapo kila mmoja na kipaumbele chake.. Shida ya bongo hatuthamini wachezaji wetu kimpunga, kina gerrard, totti pamoja na mapenzi yao lakini walikuwa wanapata pesa nzuri pia japo walikuwa na nafasi ya kwenda kupiga hela zaidi, ila walichokuwa wanapata kilikuwa kinakidhi.
Pili, hamuwezi jua azam walimpa mikakati gani, huenda hela anapata na timu inaonesha uelekeo. Ulaya wachezaji wengine wanasajiliwa pia kwa kuona mipango ya timu
ndio maana anatapatapa Buyern Munich kusaka makombe....
Pesa bila makombe au tuzo ni umalaya tu.