K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Huenda alijaribu ikashindikana, hatujui wanajuana wenyewe.Ila sasa Fei alitaka hicho akanyimwa alifata tamaa ila alikua na uwezo akaa na washauri wake akashauriana jaman naombeni ongezeko na tunaomba tufanye marekebisho ya vipengele unahisi wangegoma?
Ila kama hakuomba hilo akaanzisha tu migomo baridi, basi alikosea sana