mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Kama ishu ni pesa tu mbona Dogo alisepa kuvalishwa medali? Alichukia nin?angekuwa anacheza ulaya sawa mana mataji ya kule yana hadhi zaidi ila kwa bongo apa cha kwanza ni mshiko.
pesa na ubingwa wa ligi ya Tanzania bara.. bora pesa.
vikombe ndivyo vitakujengea CV ya kupata huo mkwanja,fei angeenda huko azam au hata timu za nje kwa mkwanja mrefu.Vikombe vinakusaidia nini ukiwa kapuku?, hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Kuna kitu tunapaswa kuelewa, kuna kuchukua hela nyingi kwa mara chache na kuchukua hela chache kwa mara nyingi.Kylian Mbape amekataa mabilioni ya hela kwa kukataa kwenda Uarabuni msimu uliopita, kama alivyofanya mchezaji wenzake Neymar! Na badala yake ameona asaini Real Madrid msimu huu ili kuchukua zaidi makombe na tuzo binafsi.
Huyo makombe anayo, ila anatafuta ile tuzo binafsi ya wateule wachache wenye vitu vya ziada.Kylian Mbape amekataa mabilioni ya hela kwa kukataa kwenda Uarabuni msimu uliopita, kama alivyofanya mchezaji wenzake Neymar! Na badala yake ameona asaini Real Madrid msimu huu ili kuchukua zaidi makombe na tuzo binafsi.
Sopu alienda Azam kwa mkwanja mrefu ila hakuwa na kikombevikombe ndivyo vitakujengea CV ya kupata huo mkwanja,fei angeenda huko azam au hata timu za nje kwa mkwanja mrefu.
Kuna watu wamechukua makombe sana enzi za miaka ya 80 na 90, sasa hivi ni pesa kwanza makombe baadaeNiliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu...
Mrisho Halfan Ngassa aka Uncle, alikataa mkwanja mrefu wa kwenda kucheza Al Merreikh ya Sudan akitokea Azam, kwa lengo la kubakia Yanga.Huyo makombe anayo, ila anatafuta ile tuzo binafsi ya wateule wachache wenye vitu vya ziada.
Ballon d'or ndo anaitafuta.
Signing bonus anayopewa na Madrid ni £150M, kiasi ambacho PSG hawakumpa, pia haki ya picha amepewa 80% kitu ambacho hakijawahi tokea pale Madrid...
Sijasema vikombe havina thamani, bali nimesema vikombe viwe direct proportional na maslahi.Mbona hauwi specific!?
Kwani Feisal alikua halipwi Yanga?
Bonus za Champions league alikua hapati?
Lakini baadae ameishia kulia lia mitandaoni kuwa hali yake mfukoni si njema.Mrisho Halfan Ngassa aka Uncle, alikataa mkwanja mrefu wa kwenda kucheza Al Merreikh ya Sudan akitokea Azam, kwa lengo la kubakia Yanga.
Mbappe amelipwa vizuri sana PSG na kwa umri wake bado ana nafasi ya kucheza baadaye huko uarabuni. Ametengeneza pesa nyingi pale PSG kwahiyo sasa hivi anatafuta makombe.Kylian Mbape amekataa mabilioni ya hela kwa kukataa kwenda Uarabuni msimu uliopita, kama alivyofanya mchezaji wenzake Neymar! Na badala yake ameona asaini Real Madrid msimu huu ili kuchukua zaidi makombe na tuzo binafsi.
boss mimi nimekujibu factSopu alienda Azam kwa mkwanja mrefu ila hakuwa na kikombe
Eti unachukua vikombe huna maisha yani team uisaidie kubeba vikombe zen usiepewe mshahara mkubwa?Yani unaweza ukawa unachukua vikombe na huna maisha? Acheni kukuza mambo
Mkuu endelea kutoa somo hadi waeleweMbona hauwi specific!?
Kwani Feisal alikua halipwi Yanga?
Bonus za Champions league alikua hapati?
Bonus za makombe alikua hapati?
Kwani Feisal alikua maskini alivyokua Yanga!?
Ulitakiwa useme kuongezeka kwa ukwasi,ila sio kuunasibisha umasikini/ukapuku moja kwa moja.
Maana kwa kauli ulizoongea ni kana kwamba vikombe havina thamani kabisa.
Ndio hivo yatabishaKylian Mbape amekataa mabilioni ya hela kwa kukataa kwenda Uarabuni msimu uliopita, kama alivyofanya mchezaji wenzake Neymar! Na badala yake ameona asaini Real Madrid msimu huu ili kuchukua zaidi makombe na tuzo binafsi.
Ila sasa Fei alitaka hicho akanyimwa alifata tamaa ila alikua na uwezo akaa na washauri wake akashauriana jaman naombeni ongezeko na tunaomba tufanye marekebisho ya vipengele unahisi wangegoma?Unajua mkataba wa Messi akiwa Barcelona, kipengele kimojawapo kilihitaji yeye kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi kuliko wacheza mpira kote duniani...
Sijaikuza ila amesema kile nilichosema hata mimiMkuu, mbona umeikuza sana kauli ya Farhan? Kwani yeye ana uzito gani hadi kila anachowaza kuhusu soka kiwe sahihi?
Yeye si mtangazaji tu wa Clouds FM? Si mtangazaji tu kama Baba Levo na Mwijaku? Tusiwakuze sana hawa watu kwa vile wako redioni...
van Perse. Arsenal to Man UMchezaji gani hapa duniani amewahi chagua vikombe akaacha fedha?
Uyo Farhan ni nani kiasi kwamba anachokisema ndio kiwe hitimisho la mjadala?. Mchezaji yoyote akiwa kwenye peak lazima aangalie ulinganisho wa mataji na masilahi kwamba ni wapi anaweza kupata vyote viwili, dau alilowekewa azam ni kubwa sana kuliko ambalo angepewa yanga akichokosea fei ni kuvunja mkataba kihuni. Fei toto kacheza azam msimu mmoja tu bado ni mapema kumuhukumu.Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu...