Huenda alijaribu ikashindikana, hatujui wanajuana wenyewe.Ila sasa Fei alitaka hicho akanyimwa alifata tamaa ila alikua na uwezo akaa na washauri wake akashauriana jaman naombeni ongezeko na tunaomba tufanye marekebisho ya vipengele unahisi wangegoma?
Hawajui..ongeza Mahrez to Man cityV
van Perse. Arsenal to Man U
Sawa Mkuu hapo nimekuelewa na tumeelewana.Huenda alijaribu ikashindikana, hatujui wanajuana wenyewe.
Ila kama hakuomba hilo akaanzisha tu migomo baridi, basi alikosea sana
Nimekupa Reference acha utoto mi nimesema tu na nimekupa reference yangu mwenyewe kuonyesha hata mimi nililisema kabala hata Farhan hajalisema nae.Uyo Farhan ni nani kiasi kwamba anachokisema ndio kiwe hitimisho la mjadala?. Mchezaji yoyote akiwa kwenye peak lazima aangalie ulinganisho wa mataji na masilahi kwamba ni wapi anaweza kupata vyote viwili, dau alilowekewa azam ni kubwa sana kuliko ambalo angepewa yanga akichokosea fei ni kuvunja mkataba kihuni. Fei toto kacheza azam msimu mmoja tu bado ni mapema kumuhukumu.
Umetumia andiko la farhan kuonesha msisitizo wa ulichokisema ndio maana nikauliza uyo jamaa ni nani? ameshafanya makubwa gani kwenye sekta ya soka kiasi kwamba anachokisema kitumike kama rejea ya kuipa nguvu hoja yako?Nimekupa Reference acha utoto mi nimesema tu na nimekupa reference yangu mwenyewe kuonyesha hata mimi nililisema kabala hata Farhan hajalisema nae.
Ndio kitu nimejiuliza ....huyo jamaa ni Nani hasa..?Mkuu, mbona umeikuza sana kauli ya Farhan? Kwani yeye ana uzito gani hadi kila anachowaza kuhusu soka kiwe sahihi?
Yeye si mtangazaji tu wa Clouds FM? Si mtangazaji tu kama Baba Levo na Mwijaku? Tusiwakuze sana hawa watu kwa vile wako redioni.
Hata wao wakati mwingine huwa na mawazo ya kipuuzi tu yanayopaswa kupuuzwa kama maoni mengine ya kipuuzi.
Nashauri, tuwe na kiasi na hawa watu. Tusijimalize kiasi hiki.
Ova
Labda atavitumia kama bakuli kuombea ela ya sukari.Vikombe vinakusaidia nini ukiwa kapuku?, hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Kwanza achana na kina Ronaldo na Messi. Rudi Tanganyika, thamani ya ligi inayotoa hivyo vikombe unavyotaka wachezaji wavitazame badala ya pesa unaifahamu lakini?We jamaa vikombe ndivyo vinaleta pesa na bonus kibao.
Tuzo binafsi pia huleta pesa na hizo tuzo zenyewe ni pesa ukiamua kuziuza.
Kina Ronaldo na Messi kawafuatilie UEF zimewapaje hela pamoja na LALIGA.
Unadhani Fei angekuwa anafanya vibaya wimbo ungekuwa vikombe vs Pesa?Haya maisha ya kupangiana cha kuchagua yameanza lini?
Yaani unampangia mtu achague vikombe badala pesa , wewe kama nani?
Feitoto kachagua pesa badala ya vikombe mwacheni na chaguo lake. Acheni roho za chuki . Nyie kila mchezaji akihama toka timu yenu kama bado mna mapenzi naye inakuwa vita.
Fei hana sababu ya kushindana na Yanga. Aendelee kucheza soka, ajitume mafanikio yatakuja. Ana miaka kama mi4 ya kucheza soka katika kiwango kizuri iwapo atakuwa fitFei anatakiwa ajue kuwa sehemu sahihi ya kuiumiza yanga ni kwenda simba ambayo ipo inajengwa upya na itachukua makombe na kuipiga yanga kirahisi siku za usoni
Hao wachezaji uliowataja kila ukifika muda wa ku renew mkataba walikuwa wanademand pesa nyingi sana bob. Wachezaji now days wana ajents kila kitu ni business. Hao madrid last season walikuwa tayari kuvunja record ya usajiri for mbape, soccer ni budiness kila kitu ni pesaboss mimi nimekujibu fact
mtazame ronaldo,messi,ronaldinho na mbape n.k CV zinawabeba kupitia makombe.
Kama stori tunazozisikia ni za kweli mimi siwezi ng'ang'ania vikombe kwa mil4 nikaacha mil16 mkuuYani unaweza ukawa unachukua vikombe na huna maisha? Acheni kukuza mambo
Hata mimi siwezi acha hiyo, ila naomba nijibu ukiwa na mshahara wa Mil 4 huna maisha wewe? Hii ndio mantiki yangu katika upotoshaji unaoendeleaKama stori tunazozisikia ni za kweli mimi siwezi ng'ang'ania vikombe kwa mil4 nikaacha mil16 mkuu
Oky sawa we mwenye uelewambona wewe na huyo farhan kama hamna uelewa wowote