Farhan: Siku ya mwisho career ya Fei itakua judged kwa vikombe na Tuzo Binafsi

Jifunze kwa Harry Kane, dada angu,,,

ndio maana anatapatapa Buyern Munich kusaka makombe....

Pesa bila makombe au tuzo ni umalaya tu.
 
Nitajie vikombe vinamsaidia nini mchezaji asiye na maisha?
Mchezaji gani mwenye vikombe asie na maisha?
Hivi milioni 4 alizo kua analipwa huyo jamaa pale Yanga ni ndogo ukilinganisha na maisha yetu halisi hapa bongo?

Ikiwa mwalimu tu mwenye taaluma yake na hapokei mshahara kama huo sembuse yeye kibakatu!
 
Jifunze kwa Harry Kane, dada angu,,,

ndio maana anatapatapa Buyern Munich kusaka makombe....

Pesa bila makombe au tuzo ni umalaya tu.
Umeandika kama vile huna kende, umekosa hoja unaamua kunikosea adabu, Kane sio vikombe tu, na mpunga pia pale munich anakula pauni laki 4 mara 2 ya kile alichokuwa anachukua tottenham pale.
Lakini pia msharaha aliokuwa anachukua tottenham ni unamtosheleza kuishi maisha bora akistaafu, ila fei alichokuwa anakipata yanga ni pesa mbuzi.
 
Mwalimu anaweza fundisha miaka mingi, ila mpira hardly ni miaka 10
 
Cannavaro Captain wa zamani wa Yanga ana maisha gani tukilinganisha na vikombe alivyobeba?

Yaani tuseme anamzidi nini mtu kama Himid Mao mwenye kikombe kimoja tu cha ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…