Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ha ha ha ha malaika eti, usikate tamaa nukumuomba Mungu atuepushie mabalaa yanayoendelea na sio kwamba haoni anaona sana, anawalia timing tu, wewe endelea kuomba usichoke mwambie apite katikati ya nchi afumue fumue kila uozo wote.wala nisingezaliwa, ningekuwa malaika mmojawapo tu huko mbinguni fresh tu. kuna raha gani sasa kuzaliwa kwenye nchi watu wanapiga pesa, uza bandari, jana tumelipa mabilioni ya ndege ambayo tunajua pesa zingien zitaenda mfukoni mwa waliosababisha hayo yatokee? ila tutapambana hadi kieleweke.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app