Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sanaMimi naipinga CCM na udhalimu wake, lakini naona matatizo mengi ya kifalsafa watu kufanya maandamano ya kupinga uchaguzi siku ya uchaguzi.
Kama hamtaki uchaguzi ufanyike washawishini watu kwa hoja wasiende kwenye uchaguzi.
Andamaneni hata siku moja kabla ya uchaguzi.
Kuandamana siku ya uchaguzi ni kama kushindwa kushawishi watu wasifanye uchaguzi na kuingikia haki yao ya kufanya uchaguzi bila bughudha.
Mimi hata kabla ya kufika kwenye swali la Watanzania wako tayari kuandamana au hawako tayari, naona tatizo wasiotaka uchaguzi kuandamana siku ya uchaguzi.Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sana
Kwani wamesema wataenda kwenye vituo vya kura na kuzuia watu kupiga kura au watakuwa barabarani wakifanya yao?Mimi hata kabla ya kufika kwenye swali la Watanzania wako tayari kuandamana au hawako tayari, naona tatizo wasiotaka uchaguzi kuandamana siku ya uchaguzi.
Hata kama Watanzania wangekuwa tayari kuandamana.
Kwa sababu wanaotaka uchaguzi wana haki ya kufanya uchaguzi bila bughudha wala kuingiliwa na maandamano siku ya uchaguzi.
Hiyo haki ya kufanya uchaguzi haipo. Kilichopo ni kiini macho tuu.Mimi naipinga CCM na udhalimu wake, lakini naona matatizo mengi ya kifalsafa watu kufanya maandamano ya kupinga uchaguzi siku ya uchaguzi.
Kama hamtaki uchaguzi ufanyike washawishini watu kwa hoja wasiende kwenye uchaguzi.
Andamaneni hata siku moja kabla ya uchaguzi.
Kuandamana siku ya uchaguzi ni kama kushindwa kushawishi watu wasifanye uchaguzi na kuingilia haki yao ya kufanya uchaguzi bila bughudha.
Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.Kwani wamesema wataenda kwenye vituo vya kura na kuzuia watu kupiga kura au watakuwa barabarani wakifanya yao?
Suala jingine ni kuhusu stratergy, tunaijua TZ yetu, ikiwa that predictable nini kitatokea....maandamo ya amani kibao tumeona vile yakipigwa pini! Mi nasubiri surprise ya Gen Z wetu😎😎
Sawa. Hata kama haki ya kufanya uchaguzi haipo, kufanya haya maandamano siku ya uchaguzi kunairudishaje hiyo haki?Hiyo haki ya kufanya uchaguzi haipo. Kilichopo ni kiini macho tuu.
KAma unaamini kuna hiyo haki basi umepigwa kiini macho.
Kila mtu afanye anachojisikia siku hiyo.Sawa. Hata kama haki ya kufanya uchaguzi haipo, kufanya haya maandamano siku ya uchaguzi kunairudishaje hiyo haki?
Na kuna watu wamekubali kufanya uchaguzi, haki hiyo iwepo au isiwepo, wamekubali kufanya uchaguzi.
Huoni kuwa watu hawa wana haki ya kufanya uchaguzi, na kuwaingilia na kuwabughudhi kwenye siku yao ya kufanya uchaguzi ni vibaya? Whether ni uchaguzi kweli au maigizo it doesn't matter, wao washakubali.
Kwa nini maandamano haya yafanyike siku ya uchaguzi wakati kuna siku nyingine nyingi tu katika mwaka?
Kwa nini maandamano yasifanyike hata siku moja kabla ya uchaguzi?
Ukisema kila mtu afanye anachojisikia unakosa hata moral high ground ya kuisema CCM na utawala uliopo.Kila mtu afanye anachojisikia siku hiyo.
Wewe ni nani upangie watu?
Mtu ametaka kushiriki uchaguzi afanye na tunaotaka kuandamana tutafanya hivyo.
Huo ndio uhuru ambao wao wanautaka kwenye siku husika na sisi pia tunauhitaji.
See, hilo ndio lengo... polisi wasipate muda wa kujimobilize na kwenda kuharibu mambo!Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.
In principle kutatakiwa kuwe na resources za kulinda hayo maandamano, resources hizohizo ndizo zitatakiwa kutumika kulinda uchaguzi.
Mpaka hapo kushakuwa na conflict tayari.
Kuhusu strategy na predictability, huoni kuwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi ndiyo kuwa predictabke na kuamua kufanya maandamano siku nyingibe isiyojulikana ndiyo k8nyume chake?
Shida ni moja—CCM is an extremely repressive political entity. In substance, Serikali ya CCM, kupitia Kangaroo court, imeifungia CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Ndiyo maana huzioni tena zile rallies za NRNE ambazo zilishika kasi kubwa miezi minne iliyopita. So, jukwaa ambalo CHADEMA walikuwa wakilitumia kuwafikia wananchi more effectively limekuwa shut down. As if that wasn’t bad enough, hata mikutano yao ya ndani wakati mwingine inavamiwa na kusambaratishwa na PoliCCM lawlessly!Mimi naipinga CCM na udhalimu wake, lakini naona matatizo mengi ya kifalsafa watu kufanya maandamano ya kupinga uchaguzi siku ya uchaguzi.
Kama hamtaki uchaguzi ufanyike washawishini watu kwa hoja wasiende kwenye uchaguzi.
Andamaneni hata siku moja kabla ya uchaguzi.
Kuandamana siku ya uchaguzi ni kama kushindwa kushawishi watu wasifanye uchaguzi na kuingilia haki yao ya kufanya uchaguzi bila bughudha.
Hivi kampeni za No reforms no election zililenga nini? Na kwa nini hazikuendelea?Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sana
Akili kubwa sana wewe. Jamaa wa upinzani wana mihemko mingi sana.Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.
In principle kutatakiwa kuwe na resources za kulinda hayo maandamano, resources hizohizo ndizo zitatakiwa kutumika kulinda uchaguzi.
Mpaka hapo kushakuwa na conflict tayari.
Kuhusu strategy na predictability, huoni kuwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi ndiyo kuwa predictabke na kuamua kufanya maandamano siku nyingibe isiyojulikana ndiyo k8nyume chake?
Hapo huoni kuwa mmeingilia uhuru wa watu wengine walioamua kupiga kura na kulindwa na hao polisi, na kama kuna matatizo ya kwenye uchaguzi mlitakiwa myatatue hayo matatizo mengine bila kuingilia uhuru huo?See, hilo ndio lengo... polisi wasipate muda wa kujimobilize na kwenda kuharibu mambo!
Hujajibu maswali yangu, unmeongeza swali.Shida ni moja—CCM is an extremely repressive political entity. In substance, Serikali ya CCM, kupitia Kangaroo court, imeifungia CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Ndiyo maana huzioni tena zile rallies za NRNE ambazo zilishika kasi kubwa miezi minne iliyopita. So, jukwaa ambalo CHADEMA walikuwa wakilitumia kuwafikia wananchi more effectively limekuwa shut down. As if that wasn’t bad enough, hata mikutano yao ya ndani wakati mwingine inavamiwa na kusambaratishwa na PoliCCM lawlessly!
What option are they left with?
Kama ni reasonable kuandamana kabla ya siku ya uchaguzi haramu, haiwezi kuwa unreasonable kuandamana siku yenyewe ya huo uchaguzi haramu. If anything, its impact on voter turnout ni kubwa zaidi.Hujajibu maswali yangu, une9ngwza swali.
Hata mini nakubali yote ukiyoyasema.
Lakini maandamano siku ya uchaguzi yatasaidia vipi kuiondoa CCM?
Au ni maandamano ya kuonesha frustrations za watu tu kwamba watu wengi hivi hawaukubali uchaguzi?
Katika nchi inayofuata rule of law and non violent protests, na kupima hoja in the marketplace of ideas rather than violent confrontations, kama uchaguzi ni haramu, wanaoukataa huo uchaguzi walitakiwa kuwa na uwezo wa kuwaeleza wananchi uchaguzi huu ni haramu, na kuupinga kwa maandamano all the way mpaka hata siku moja kabla ya uchaguzi.Kama ni reasonable kuandamana kabla ya siku ya uchaguzi haramu, haiwezi kuwa unreasonable kuandamana siku yenyewe ya huo uchaguzi haramu. If anything, its impact on voter turnout ni kubwa zaidi.