GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hujajibu maswali yangu, une9ngwza swali.

Hata mini nakubali yote ukiyoyasema.

Lakini maandamano siku ya uchaguzi yatasaidia vipi kuiondoa CCM?

Au ni maandamano ya kuonesha frustrations za watu tu kwamba watu wengi hivi hawaukubali uchaguzi?
I guess tutoana siku ikifika!
 
Nasikia hata wameaanza kuuliza watu stendi za mabasi mikoani kuwa wanasafari kwenda wapi?
Na ukisema Dar, inabidi ujieleze kirefu unaeenda kufanya nini na kwa nani?
 
Kuandamana siku ya uchaguzi kuna immediate and maximum impact.

Impact yake ni political. Legitimacy ya Serikali ijayo inaumia. Inakuwa haina tofauti na utawala wa kiimla. Utawala unaweza kudumu lakini hauna legitimacy kwenye mioyo na macho ya wapenda demokrasia wote.
Kwani mpaka sasa unaona legitimacy ya serikali ya Tanzania, kwa watu ambao wanaweza kuangalia mambo hayo, haijaumia?

Na kwa wasioangalia sana mambo haya, legitimacy ya uongozi wa sasa itaumiaje?

Tayari mnajua CCM wanaiba kura.

Mkifanya maandamano halafu CCM wakaiba kura na kusema watu wengi wameshiriki uchaguzi licha ya maamdamano, huoni kuwa maandamano hayo hayatasaidia chochote na zaidi yataiongezea CCM legitimacy tu kwamba itaweza kusema watu wengi wameshiriki uchaguzi licha ya maandamano ya kuwachochea wasishiriki?
 
Mkuu unaandika utafikiri juhudi hazijafanywa bana, kwani tumefika hapa si sababu shingo zimezupashwa? Matokeo ndio hayo, wananchi wanakikomo! Na sisi si ndio wenye nchi?!
Sasa mkiandamana ndiyo mtafanikisha nini?

Wanaoiba kura watashindwa kuiba kura kwa sababu mmeandamana siku ya uchaguzi?
 
Sasa mkiandamana ndiyo mtafanikisha nini?

Wanaoiba kura watashindwa kuiba kura kwa sababu mmeandamana siku ya uchaguzi?
Utajua baada ya Maandamano Mkuu, funga mkanda vizuri🌚🌚
 
Utajua baada ya Maandamano Mkuu, funga mkanda vizuri🌚🌚
Ni vigumu sana kwa mtu mwenye kufikiri rationally kuona kuwa maandamano yatasaidia lolote.

Mimi kama mtu ambaye ninaamini katika kumpa kila mtu uhuru wa kutimiza haki zake za kikatiba, hata yule ambaye sikubaliani naye, ningekuwa Tanzania nisingeandamana siku ya uchaguzi.

Kwa sababu licha ya kuandamana huko kutosaidia lolote, kuandamana huko kunaelekea kuminya haki za watu wengine kushiriki uchaguzi wanavyotaka.
 
Kwani mpaka sasa unaona legitimacy ya serikali ya Tanzania, kwa watu ambao wanaweza kuangalia mambo hayo, haijaumia?

Na kwa wasioangalia sana mambo haya, legitimacy ya uongozi wa sasa itaumiaje?

Tayari mnajua CCM wanaiba kura.

Mkifanya maandamano halafu CCM wakaiba kura na kusema watu wengi wameshiriki uchaguzi licha ya maamdamano, huoni kuwa maandamano hayo hayatasaidia chochote na zaidi yataiongezea CCM legitimacy tu kwamba itaweza kusema watu wengi wameshiriki uchaguzi licha ya maandamano ya kuwachochea wasishiriki?
Hata kama legitimacy imeshaumia, ikiumia zaidi shida iko wapi?

Kutokufanya maandamano is even worse. Watatoa fake statistics za uchaguzi na hakutakuwa na basis ya kuzishambulia. Kama hundreds of thousands ya wapigakura wameandana kujitenga na huo uchaguzi, obviously hizo takwimu zinakuwa questionable.

Umetumia muda mwingi kupinga hayo maandano, lakini umeshindwa kusema njia mbadala yenye tija ya jinsi ya ku-deal na hii repressive regime. Put yourself in their shoes, katika mazingira halisi waliyomo.
 
Sijawahi kusema nina jibu la njia ya kudeal na hii repressive regime.

Naweza kuwa sijui jibu hilo lakini pia nikajua jibu la maandamano siku ya uchaguzi si jibu sahihi.

Ila, nakuambia kuwa kuandamana siku ya uchaguzi ni kujifurahisha tu, kuonesha frustrations tu. Hakuna strategic advantage hapo.

Dunia nzima inajua Tanzania CCM wanaiba uchaguzi.

Sasa wewe unataka kuandamana ili uioneshe dunia CCM wanaiba uchaguzi ili iweje?
 
Nilikua sitaki kuandamana ila tarehe 29 ntaenda Bukoba nikaandamane ili nikutane na huyo pimbi nimng'oe meno
 
This logical fallacy is called ad hominem.

I am sure you do not know what that is.
A fake Muzungu.

Unfortunately, you were born BLACK, and there is nothing you can do about it.
 
A fake Muzungu.

Unfortunately, you were born BLACK, and there is nothing you can do about it.
Ad hominem plus non sequitur logical fallacy.

I am placing you in my ignore list. You do not deserve the privilege to engage me.
 
God Bless Tundu Lissu
 
Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sana
Na ikitokea?
Btw ht wakipiga kura 2 bado haitakua na impact
Yaani wataoiga machawa na itaonekana ucjaguzi umefanyika na wameshinda
So wenye wazo hilo wako sawa
Maoni yangu
 
Katika nchi inayofuata rule of law and non violent protests, na kupima hoja in the marketplace of ideas rather than violent confrontations, kama uchaguzi ni haramu, wanaoukataa huo uchaguzi walitakiwa kuwa na uwezo wa kuwaeleza wananchi uchaguzi huu ni haramu, na kuupinga kwa maandamano all the way mpaka hata siku moja kabla ya uchaguzi.

Halafu siku ya uchaguzi wawaachie wananchi wafanye uchaguzi bila bughudha yoyote. Na wasiotaka kufanya uchaguzi wakae majumbani mwao wasusie uchaguzi.

Kama hoja za wasiotaka uchaguzi zina mashiko na zimeshawishi watu, watu wataandamana hata kwa kususia uchaguzi na kukaa majumbani mwao.

Kutopiga kura katika uchaguzi pia ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na uchaguzi huo.

Kufanya maandamano siku ya uchaguzi ni kuwapa point watu wanaosema kuwa watu wasiotaka uchaguzi wanataka kuwafanyia fujo wanaotaka kutimiza haki yao ya kupiga kura.

Na hapo ndipo mtawapa Polisi sababu na justification ya kupiga watu risasi na virungu kwenye hayo maandamano.

Mmeshindwaje kuandamana siku zote hizo mkasubiri siju watu wanajifanyia uchaguzi wao ndiyo na nyie mtake kuandamana siku hiyo hiyo?

Huoni kuwa huo unaweza kutafsiriwa kuwa ni mpango wa kuleta fujo siju ya uchaguzi tu?
Hoja yako ingekuwa na maana kama watu unaowazungumzia wangekuwa na principles zozote wanazozingatia, tatizo watu unaowazungumzia hawaamini chochote isipokuwa kupata power na kuendelea kuwa kwenye power kwa njia YOYOTE ile.

Charlamagne tha God: “Gavin Newsom has been doing what I’ve wanted a Democrat to do for a long time. When they low go either you ignore them or you go to hell. He’s matching energy and I like it.”
 
Akili kubwa sana wewe. Jamaa wa upinzani wana mihemko mingi sana.
Ss maandamano yanahusiana nn na upinzani? Ndo walioanzisha?
Sijaona heche,mnyika,lissu etc wakiongelea maandamano ila NRNE, kina mange ni ccm damu msiwasingizie cdm

Yaani kila anaepinga udhalimu ni mpinzani?
 
Hoja yako ingekuwa na maana kama watu unaowazungumzia wangekuwa na principles zozote wanazozingatia, tatizo watu unaowazungumzia hawaamini chochote isipokuwa kupata power na kuendelea kuwa kwenye power kwa njia YOYOTE ile.

Charlamagne tha God: “Gavin Newsom has been doing what I’ve wanted a Democrat to do for a long time. When they low go either you ignore them or you go to hell. He’s matching energy and I like it.”
Sasa kuandamana siku ya uchaguzi kupinga watawala wenye power ambao hawakubali principle yoyote kutasaidiaje kuwatoa kwenye power?

Hamuoni kuwa mnawapa sababu ya kuwapiga, kuwajeruhi na hata kuwaua tu kwa kisingizio kuwa mnafanya fujo siku yao ya uchaguzi na mnawavunjia amani wananchi wengine wanaotaka kutumia haki yao ya kikatiba kupiga kura siju hiyo?
 
Ad hominem plus non sequitur logical fallacy.

I am placing you in my ignore list. You do not deserve the privilege to engage me.
Mkuu sioni haja ya kuweka watu ignore list, kama kweli unapenda haki, bas kuwa flexible ku receive positive na negative thoughts
 
Mkuu sioni haja ya kuweka watu ignore list, kama kweli unapenda haki, bas kuwa flexible ku receive positive na negative thoughts
Hapana.

Kama unapenda haki utaelewa kuwa mimi nina haki ya kuamua nani niongee naye na nani nisiongee naye.

Yani nina haki ya kujiwekea standards, nikikuona hujafikisha standards zangu niweze kukataa kuongea nawe.

Tatizo liko wapi mimi kutumia uhuru wangu na haki yangu?

Mimi sipendi mizozo na watu wajinga ambao hawawezi kujadili hoja wanakuja na ad hominem fallacy na logical non sequitur fallacy.

Mimi naweka hoja ya kifalsafa tujadili haki yako ya kupata uongozi bora inapogongana na haki ya mtu mwingine ya kikatiba ya kupiga kura, tunaweza vipi ku negotiate mambo hapo?

Mtu anakuja ananishambulia mimi binafsi bila kuangalia hoja, analeta habari za vihoja na vituko ambazo zipo nje kabisa ya mada.

Mimi kama mtu nisiyependa mazungumzo ya mizozo na matusi kumuweka huyu mtu ignore list licha ya kuwa haki yangu, pia itasaidia JF tuwe na mazungumzo ya tija tuachane na matusi yasiyo na tija.

Hutakiwi kunipangia mimi nani nizungumze naye na nani nisizungumze naye.

Hiyo pia ni haki yangu. JF wanajua hili, ndiyo maana wameweka ignore list.
 
Back
Top Bottom