GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katika nchi inayofuata rule of law and non violent protests, na kupima hoja in the marketplace of ideas rather than violent confrontations, kama uchaguzi ni haramu, wanaoukataa huo uchaguzi walitakiwa kuwa na uwezo wa kuwaeleza wananchi uchaguzi huu ni haramu, na kuupinga kwa maandamano all the way mpaka hata siku moja kabla ya uchaguzi.

Halafu siku ya uchaguzi wawaachie wananchi wafanye uchaguzi bila bughudha yoyote. Na wasiotaka kufanya uchaguzi wakae majumbani mwao wasusie uchaguzi.

Kama hoja za wasiotaka uchaguzi zina mashiko na zimeshawishi watu, watu wataandamana hata kwa kususia uchaguzi na kukaa majumbani mwao.

Kutopiga kura katika uchaguzi pia ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na uchaguzi huo.

Kufanya maandamano siku ya uchaguzi ni kuwapa point watu wanaosema kuwa watu wasiotaka uchaguzi wanataka kuwafanyia fujo wanaotaka kutimiza haki yao ya kupiga kura.

Na hapo ndipo mtawapa Polisi sababu na justification ya kupiga watu risasi na virungu kwenye hayo maandamano.

Mmeshindwaje kuandamana siku zote hizo mkasubiri siju watu wanajifanyia uchaguzi wao ndiyo na nyie mtake kuandamana siku hiyo hiyo?

Huoni kuwa huo unaweza kutafsiriwa kuwa ni mpango wa kuleta fujo siju ya uchaguzi tu?
Hoja yako inajengeka “under normal circumstances”. Hizi sio normal circumstances. Hoja unazotaka zipimwe na wananchi zinatolewa jukwaa gani? Mtoa hoja mmoja ana uhuru wa kutoa hoja zake mahali popote, wakati wowote, lakini mtoa hoja mwingine hana uhuru huo.

Unaichukulia Serikali hii kama Serikali ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba Serikali ya CCM ni genge la majambazi, sio kile kinachoitwa serikali ya watu kwa ajili ya watu. Serikali ya kawaida haiwezi kuzuia a registered political party kufanya shughuli za kisiasa!
 
Sasa serikali ya genge la majambazi utaitoa vipi kwa kuandamana siku ya uchaguzi?

Tunajua serikali dhalimu. Tunajua CCM wanaiba kura.

Unaandamana siku ya uchaguzi.

What is the point?
 
Sasa serikali ya genge la majambazi utaitoa vipi kwa kuandamana siku ya uchaguzi?

Tunajua serikali dhalimu. Tunajua CCM wanaiba kura.

Unaandamana siku ya uchaguzi.

What is the point?
Kwa mtazamo wako, siku sahihi ya kuandamana kuitoa serikali ya majambazi ni siku gani?

Watu wanapoandamana kupinga ujio wa kiongozi fulani wa kigeni asiyefaa (tena kwa kufanya hivyo siku na saa anayowasili) hukusudia nini? Huwezi kuandamana kabla ya ujio wake halafu ukaona sio busara kuandamana siku anayowasili. It’s an all-or-none situation!
 
Wewe kwa maoni yako una suggest wananchi wasiokubaliana na mfumo wa ccm watumie njia gani kujinasua?
Kuna njia mbili hapa.

Ya kufuata utawala wa sheria au ya kufuata mapinduzi ya nguvu.

Kama wameamua kufanya siasa za kufuata utawala wa sheria, siasa za kutumia ushawishi wa nguvu za hoja, siasa za kueleea kuwa hata wasiokubaliana na weee wana haki ya kuishi kwa kufuata falsafa zao, basi waeleee kuwa kuna watu wameamua kufanya ichaguzi na hawa wana haki ya kufanya ucjaguzi wao bila bughudha.

Wasio support uchaguzi wanatakiwa waweze kuupinga uchaguzi kwa hoja na maandamano mpaka siku moja kabla ya uchaguzi. Halafu siku ya uchaguzi wawaachie watu wachague.

Na kama, kwa upande wa piki, wapinzani hawaamini katika utawala wa sheria, siasa za ushawishi na ngivu za hoja, wanaamini katika a violent revolution, hii falsafa haihitaji kuandamana siku ya uchaguzi.

Mapinduzi yashawahi kufanyika Zanzibar. Wazanzibari walivyofanya Mapinduzi ya January 12 1964 hawakusubiri kuandamana siku ya uchaguzi.

Walijichukulia madaraka tu siku waliyopanga wenyewe hawakusubiri siju ya uchaguzi.

Kwa hivyo, ukifuata utawala wa sheria, au ukifuata falsafa ya mapinduzi ya nguvu, kuandamana siku ya uchaguzi ni pointless.
 
Kwa mtazamo wako, siku sahihi ya kuandamana kuitoa serikali ya majambazi ni siku gani?

Watu wanapoandamana kupinga ujio wa kiongozi fulani wa kigeni asiyefaa (tena kwa kufanya hivyo siku na saa anayowasili) hukusudia nini? Huwezi kuandamana kabla ya ujio wake halafu ukaona sio busara kuandamana siku anayowasili. It’s an all-or-none situation!
Ukishaandamana siku iliyopangwa na serikali kufanya uchaguzi umeshakubali kupangiwa mpaka siku ya kuandamana.

Hujaongoza, umeongozwa. Umepangiwa mpaka siku gani ya kuandamana.

Umeamua kuandamana siku ambayo watu washapanga kuongeza ulinzi kwa kujua utaweza kuandamana.

Ushapoteza nguvu ya the element of surprise.

Kama unaamini katika utawala wa sheria, nguvu za hoja na kuwapa watu unaotofautiana nao nafasi ya kuamua, hapo utakuwa unaingilia uhuru wa watu wengine kufanya uchaguzi bila bughudha za maandamano.

Na kama huamini katika utawala wa sheria, nguvu za hoja, na kuwapa wenzio usiokubaliana nao nafasi ya kuchagua, kama unaamini katika mapinduzi ya nguvu, then kuandamana siku ya uchaguzi ni pointless, hiyo ni siku yenye ulinzi mkubwa sana. Unaweza kuipindua serikali siku nyingine yoyote kwa urahisi zaidi.

Waliopindua serikali ya Sultan Zanzibar hawakusubiri siku ya maandamano kupindua serikali.
 
I think you’re straying. Kuandamana sio kufanya mapinduzi. Kuandamana ni constitutionally protected civil right. Provided watu wanaandamana peacefully, haki hiyo ya kuandamana ipo siku zote (siku ya uchaguzi na isiyo ya uchaguzi).

Kumbuka, wanaoandamana sio outsiders. Ni raia ambao wana haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) viongozi. Wanaandamana kupinga mchakato batili wa uchaguzi ambao Serikali imelazimisha ufuatwe. Kuchagua kunyamaza ni kuchagua kuhalalisha mchakato batili. Kuandamana ni kuiambia dunia unequivocally kwamba “tunapinga huu mchakato”.
 
Kwani kuandamana kupinga mchakato batili lazima uandamane siku ya uchaguzi?

Ukiandamana siku ya uchaguzi kupinga uchaguzi batili hilo litasaidia vipi?

What exactly are you accomplishing here?
 
Wananchi wa Bukoba washughulike nae. Mtu kama huyu makazi yake yanajulikana ni kushighulika nae mapema sana. Wanatuona wananchi sisi ni wapumbavu
Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29

=

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 mwaka huu kwenda kupiga kura nyingi kwa wagombea wa Chama Cha Mapinduzi na kuachana na upotoshaji unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uvunjifu wa amani siku hiyo ya uchaguzi.

Soma > Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Faris amesema ubora, uweledi na umahiri wa wagombea walioletwa na CCM kwa wananchi, ni kielelezo tosha cha wananchi kuwapigia kura nyingi ili wakaisimamie Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 inayolenga kusogeza huduma kwa wananchi.

Faris ameyasema hayo Septemba 23, 2025 kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba Mjini, Injinia Johnston Mutasingwa uliofanyika kwenye kata ya Kibeta na kuhudhuriwa na wananchi wengi wa Kibeta na Bukoba mjini kwa ujumla.

Kisa kaongea kinachokufurahisha/ ulichotaka kusikia?
Mkuu,

Mimi mtu akinisifia kiufupi tu bila kuonesha kaelewa hoja yangu kifalsafa naiangalia hiyo sifa kwa makini sana maana inaweza kuwa kama ulivyosema hapo juu.

Ningefurahi zaidi mtu akielewa complexity ya hoja zangu.

Kwa mfano, aelewe kuwa mimi kusema hivyo si ku support utawala dhalimu wa CCM wala uchaguzi haramu.
 
Kwani kuandamana kupinga mchakato batili lazima uandamane siku ya uchaguzi?

Ukiandamana siku ya uchaguzi kupinga uchaguzi batili hilo litasaidia vipi?

What exactly are you accomplishing here?
Kuandamana siku ya uchaguzi kuna immediate and maximum impact.

Impact yake ni political. Legitimacy ya Serikali ijayo inaumia. Inakuwa haina tofauti na utawala wa kiimla. Utawala unaweza kudumu lakini hauna legitimacy kwenye mioyo na macho ya wapenda demokrasia wote.
 
Kuandamana siku ya uchaguzi ni kuhalalisha maandamano kwenye chaguzi zote zijazo.

Kuna milango ukishaifungua umeifungua, inakuwa umehalalisha rejea basi kila wakati wa uchaguzi ukifika wasio ridhika wana rejea ya kilichowahi kutokea na wataitumia.

Kila uchaguzi itabidi bajeti ya ulinzi iongezeke ili watu waandamane na wengine wafanye uchaguzi.
 
Hivi kampeni za No reforms no election zililenga nini? Na kwa nini hazikuendelea?
CHADEMA hawajawahi kuacha kampeni hiyo ni sababu walipigwa ban kufanya shughuli zozote mpaka kesi yao ya msingi (ile walifungua Wazanzibari) isikilizwe, waliweka pingamizi likagota, hivyo ni kama wamezuiwa kufanya shughuli za chama all together
 
Mimi naipinga CCM na udhalimu wake, lakini naona matatizo mengi ya kifalsafa watu kufanya maandamano ya kupinga uchaguzi siku ya uchaguzi.

Kama hamtaki uchaguzi ufanyike washawishini watu kwa hoja wasiende kwenye uchaguzi.

Andamaneni hata siku moja kabla ya uchaguzi.

Kuandamana siku ya uchaguzi ni kama kushindwa kushawishi watu wasifanye uchaguzi na kuingilia haki yao ya kufanya uchaguzi bila bughudha.
Umezeeka. Kama huna wajukuu, lima hata bustani.
 
Hapo huoni kuwa mmeingilia uhuru wa watu wengine walioamua kupiga kura na kulindwa na hao polisi, na kama kuna matatizo ya kwenye uchaguzi mlitakiwa myatatue hayo matatizo mengine bila kuingilia uhuru huo?
Mkuu unaandika utafikiri juhudi hazijafanywa bana, kwani tumefika hapa si sababu shingo zimezupashwa? Matokeo ndio hayo, wananchi wanakikomo! Na sisi si ndio wenye nchi?!
 
Back
Top Bottom