GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna mpuuzi mmoja humu analeta hoja za kipumbavu tumpuuze asitutoe kwenye mstari. Tar 29/10 tunakiwasha.
 
CHADEMA hawajawahi kuacha kampeni hiyo ni sababu walipigwa ban kufanya shughuli zozote mpaka kesi yao ya msingi (ile walifungua Wazanzibari) isikilizwe, waliweka pingamizi likagota, hivyo ni kama wamezuiwa kufanya shughuli za chama all together
Nashukuru kwa ufafanuzi zaidi ila haya maswali niliyalenga zaidi kwa baz kaiza kutokana na kile alichochangia katika uzi kuonekana kutoa lawama kwa CHADEMA kuwa hawakufanya uelimishaji kwa jamii kuhusiana na swala la kupiga kura katika sheria hizi zilizopo zinazodaiwa kukipendelea chama kilichopo madarakani kwa sasa
 
Huyu ndye mtekaji na mwuaji.ipo video bbc vijana wenye silaha ya moto wamevalia shati ya kijani na suruali nyeusi wakiwapiga risasi wanaoandamana.je hao cyo uvccm
 
Back
Top Bottom