GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kauli yake tu yenyewe inaamasisha kuandamana iweje sasa watu wasiandamane? Ukiwa na watu aina ya huyu kimsingi una ombwe la uongozi. CCM kimekosa vijana wa maana na ndo maana hata ushawishi hakina tena kwa vijana. Huyu ni chawa tu na njaa ndo shida, kichwa cheupe akili kisoda... Kwa akili zake huyu haukutakiwa hata kupewe uongozi wa shina achia kuwa hata wa mtaa ila kwa vile sahivi chama ni tankless basi tunamwachia Mungu
 
Unaishi sayari gani? Come down on earth… Hakuna siku ya maandamano dhidi ya watawala ambayo ni safe kwenye hii nchi. Ukiandamana hata leo utashughulikiwa just as ruthlessly. Kumbuka, kuna watu wamevunjwa miguu kwasababu tu wamekwenda mahakamani (open court) kuhudhuria kesi inayomkabili Lissu.

Tupe mathematical cost-benefit analysis uliyofanya ya kuandamana siku ambayo siyo ya uchaguzi.

Mwisho, tuambie nini kifanyike ili Tanzania irudi kwenye mstari. Kama huna jawabu, waache walio tayari kuifia nchi yao waifie.
Hakuna siku safe so you choose the most dangerous day? One that would make you look like you are interfering with a democratic process?

What kind of logic is that?
 
Acha porojo zako hizo hiyo tareh 29 nayo ni siku kamae zingine
Hujajibu hoja unaleta ad hominem logical fallacy.

Unaleta non sequitur logical fallacy.

Kwani wapi nimesema tarehe 29 si siku kama nyingine?

Kaandamane upigwe na kuuawa kama nyumbu tu.

Ni haki yako ya kikatiba.
 
Kiranga unataka upewe strategy hapa publicly.

Waandamanaji wanayo strategy ila inabaki kuwa siri ili siku yenyewe ikifika iwe ni surprise kwa adui.

Kuvujisha hiyo strategy hapa publicly ni sawa kutoa siri za ushindi kwa adui.
Huo ndio unyumbu wenyewe sasa.
 
Hujajibu hoja unaleta ad hominem logical fallacy.

Unaleta non sequitur logical fallacy.

Kwani wapi nimesema tarehe 29 si siku kama nyingine?

Kaandamane upigwe na kuuawa kama nyumbu tu.

Ni haki yako ya kikatiba.
Sasa kama ni haki kikatiba unabweka bweka nini
 
Sasa kama ni haki kikatiba unabweka bweka nini

Unayebweka ni wewe unayeshindwa kutumia mantiki katika fikra zako.

Kuhusu haki za kikatiba.

Hata kupiga kura ni haki ya kikatiba, hata kukaa nyumbani kutopiga kura na kutoandamana ni haki za kikatiba pia.

Kwa hiyo kama fikra zako zinaishia kwenye "ni haki ya kikatiba", huna hoja.

Inabidi uelezee kwa nini kutumia haki ya kikatiba ya kuandamana ni bora zaidi ya kutumia haki ya kikatiba ya kupiga kura, au haki ya kikatiba ya kukaa nyumbani kukataa kupiga kura na kuandamana pia.

Kwa hiyo ukiishia kwenye "ni haki ya kikatiba" huna point ya kujenga ushawishi hapo.
 
Tuliza wenge dogo subir October 29
 
You sound like you have a do-nothing strategy. Hii posture wangekuwa nayo kina Mandela, South Africa mpaka leo ingekuwa bado iko kwenye apartheid system. The same can be said of America and slavery system. Kama hivyo ndivyo unavyotaka, basi afadhali uwaache wahangaikaji wahangaike!

Tanzania itarudishwa kwenye mstari na Watanzania ambao wako tayari kuifia. Obviously, wengi watakufa kabla haijarudi kwenye mstari. That’s Okay because repressive regimes don’t usually go down without firing a shot.
Huyo kiranga anaangea kama vile hii serikali ni sikivu sana kwa wanainchi wake ndio maana kila comment kuna neno "hoja".. "hoja" hoja gani inasikilizwa na hii serikali dhalimu?

Yeye mwenyewe anajua jinsi vile hii serikali inavyokiuka taratibu za kisheria na katiba kwenye mambo mengi tu, halafu anataka sisi wanainchi ndio tufuate utaratibu na kuheshimu taratibu za kuandamana??

Huyu jamaa anafikiri hii serikali ya madongo kuinama isiyojali kabisa utu wa mtanzania ni kama serikali za dunia ya kwanza zinazoheshimu utu na kuheshimu wanainchi huko anakoishi.

Hebu fanya kuachana nae asikuchoshe.
 
Sasa kuandamana siku ya uchaguzi kupinga watawala wenye power ambao hawakubali principle yoyote kutasaidiaje kuwatoa kwenye power?

Hamuoni kuwa mnawapa sababu ya kuwapiga, kuwajeruhi na hata kuwaua tu kwa kisingizio kuwa mnafanya fujo siku yao ya uchaguzi na mnawavunjia amani wananchi wengine wanaotaka kutumia haki yao ya kikatiba kupiga kura siju hiyo?
Una udhibitisho gani kwamba maandamano hayawezi kuwaondoa watawala kwenye power!?
 
Una udhibitisho gani kwamba maandamano hayawezi kuwaondoa watawala kwenye power!?
Kwani wapi nimesema maandamano hayawezi kuwaondoa watawala kwenye power?

Umeelewa hoja yangu?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.

In principle kutatakiwa kuwe na resources za kulinda hayo maandamano, resources hizohizo ndizo zitatakiwa kutumika kulinda uchaguzi.

Mpaka hapo kushakuwa na conflict tayari.

Kuhusu strategy na predictability, huoni kuwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi ndiyo kuwa predictabke na kuamua kufanya maandamano siku nyingibe isiyojulikana ndiyo kinyume chake?
Lengo ndo Hilo kuvuruga uchaguzi na ikiwezekana usiwepo. Shida ni kwamba police hutumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamo nawewe unajua hili hivyo Ili police wazidiwe majukumu na hawataweza kulinda vituo na kuzuia maandamano Kwa pamoja na Hilo ndo Lita win !!
 
Unayebweka ni wewe unayeshindwa kutumia mantiki katika fikra zako.

Kuhusu haki za kikatiba.

Hata kupiga kura ni haki ya kikatiba, hata kukaa nyumbani kutopiga kura na kutoandamana ni haki za kikatiba pia.

Kwa hiyo kama fikra zako zinaishia kwenye "ni haki ya kikatiba", huna hoja.

Inabidi uelezee kwa nini kutumia haki ya kikatiba ya kuandamana ni bora zaidi ya kutumia haki ya kikatiba ya kupiga kura, au haki ya kikatiba ya kukaa nyumbani kukataa kupiga kura na kuandamana pia.

Kwa hiyo ukiishia kwenye "ni haki ya kikatiba" huna point ya kujenga ushawishi hapo.
We huna marinda sio bure na inaonekana umezeeka unatoa ushaurina hoja za kizee
 
Lengo ndo Hilo kuvuruga uchaguzi na ikiwezekana usiwepo. Shida ni kwamba police hutumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamo nawewe unajua hili hivyo Ili police wazidiwe majukumu na hawataweza kulinda vituo na kuzuia maandamano Kwa pamoja na Hilo ndo Lita win !!
Unavuruga uchaguzi ili iweje wakati matokeo wanajipangia na kutangaza wanavyotaka?
 
Unavuruga uchaguzi ili iweje wakati matokeo wanajipangia na kutangaza wanavyotaka?
Uchaguzi Gani we mzee umezeeka unaandika utumbo jitu tangia mwaka 2009 lipo humu unafikiri litakua na akili inadhirisha wewe ni lizee
 
Back
Top Bottom