pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hakuna lolote hilo ni teja tu
Limepata ubaridi wa gari limelala
Limepata ubaridi wa gari limelala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃😃Wenzake siku ya 40 hawaibi.
Na unaweza kuta alichezea na dushe maana usawa huu umkamate kibaka kiulaini hivyoSiri ya mtungi aijuae kata na adhabu ya kaburi aijuae maiti, Uyo jamaa ndo anajua siri ya usingizi kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Jamaa ni Teja wa pale kiembe samaki. Alizidiwa na unga akiwa ndani ya gari.Kutokana na hili tukio linatikisa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii. Juu ya huyu mwizi aliyekutwa nyumbani kwa mtangazaji na reporter wa radio one na ITV faroukh karim sidhani kama kuna ushirikina ndani yake
Mimi nimefikiria nimegundua labda ndani ya gari kulitegwa dawa ya usingizi ambayo ipo katika mfumo wa hewa hivyo jamaa baada ya kuingia ndani ya gari akakutana nayo, ama labda kutokana labda alikuwa na uchovu au ni mtumiaji wa madawa ya kulevya kama valium, lakini siyo sawa kuweka mizania ya kwamba Faroukh Karim ni mzee wa kishipa.
Ur the true son of Ur fatherKutokana na hili tukio linatikisa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii. Juu ya huyu mwizi aliyekutwa nyumbani kwa mtangazaji na reporter wa radio one na ITV faroukh karim sidhani kama kuna ushirikina ndani yake
Mimi nimefikiria nimegundua labda ndani ya gari kulitegwa dawa ya usingizi ambayo ipo katika mfumo wa hewa hivyo jamaa baada ya kuingia ndani ya gari akakutana nayo, ama labda kutokana labda alikuwa na uchovu au ni mtumiaji wa madawa ya kulevya kama valium, lakini siyo sawa kuweka mizania ya kwamba Faroukh Karim ni mzee wa kishipa.
Hahahaaa njaaa mbaya jamani mpaka imemleweshaWazanzibari kwa uchawi mbona wa Sumbawanga wakasome.
Mwizi mwenyewe mbona kama ananjaa hajala toka juzi.
Dah Mkuu hiyo dawa nzuri sana,tupe maujuzi aisee wezi sina hamu nao washawahi kuniliza vitu vya kama 2m na upuuzi.Usingizi wa pono.. Manyoya ya fisi yamehusika hapo
Jr[emoji769]
Kutisha watu...maana fuoni..kuna changanyikeni... wezi balaaa...Picha la kihindi limechezwa hapo, ila lengo lake kamili sijalijua. 1. Mganga wa kienyeji CV yake inatakatishwa? 2. Mwenyewe ame-direct hili picha ili kuwaogofya vibaka wasimsumbue tena? Kuna nadharia nyingi tu lakini kitu kilicho wazi ni kuwa mimi siwezi kuchotwa mawazo na hili picha la kihindi...
Ilikuwa ni kiki.nilimsikia kwenye media moja akihojiwa alijibu kuwa ile ilikuwa ni kama kiki ili ajipatie umaarufuHivi yule aliyenasia kifurushi mgongoni na yule aliyrkutwa kwenye paa la nyumba iliishiaga wapi vile
Sio kweli (dogo mwizi) ni kijana anaitwa Kimoko ni mkaazi wa Fuoni. Farouk Karim kwasasa haishi Kiembe samaki, anaishi Fuoni. [emoji41][emoji41]Huyo Jamaa ni Teja wa pale kiembe samaki. Alizidiwa na unga akiwa ndani ya gari.