'Farouk Tech' inawafaa wengi hapa nchini kukomesha wizi: Mwizi akutwa amelala ndani ya gari

Kutokana na hili tukio linatikisa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii. Juu ya huyu mwizi aliyekutwa nyumbani kwa mtangazaji na reporter wa radio one na ITV faroukh karim sidhani kama kuna ushirikina ndani yake

Mimi nimefikiria nimegundua labda ndani ya gari kulitegwa dawa ya usingizi ambayo ipo katika mfumo wa hewa hivyo jamaa baada ya kuingia ndani ya gari akakutana nayo, ama labda kutokana labda alikuwa na uchovu au ni mtumiaji wa madawa ya kulevya kama valium, lakini siyo sawa kuweka mizania ya kwamba Faroukh Karim ni mzee wa kishipa.
 
" Yaani huyu mwizi alikua anaiba kipemba, Nishajibebea mijisimu, mijiatu, na hi mijipower window wacha njipumzishe kidogo! " 😂
 
😃😃 African tec hiyo imefanya kazi yake
 
Teja tu huyo,vitu vimemkaa sawa baada ya kufika seat ya mbele.
Usikute akajua ashafika ghetto kwake..[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kutokana na hili tukio linatikisa vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii. Juu ya huyu mwizi aliyekutwa nyumbani kwa mtangazaji na reporter wa radio one na ITV faroukh karim sidhani kama kuna ushirikina ndani yake

Mimi nimefikiria nimegundua labda ndani ya gari kulitegwa dawa ya usingizi ambayo ipo katika mfumo wa hewa hivyo jamaa baada ya kuingia ndani ya gari akakutana nayo, ama labda kutokana labda alikuwa na uchovu au ni mtumiaji wa madawa ya kulevya kama valium, lakini siyo sawa kuweka mizania ya kwamba Faroukh Karim ni mzee wa kishipa.
Huyo Jamaa ni Teja wa pale kiembe samaki. Alizidiwa na unga akiwa ndani ya gari.
 
Ur the true son of Ur father
 
Hivi yule aliyenasia kifurushi mgongoni na yule aliyrkutwa kwenye paa la nyumba iliishiaga wapi vile
 
Inaweza kuwa pia ni strategy ya kufukuza wezi kwa kupanga tukio [emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Tukumbuke hata Mwizi ni binadamu yule yule kama mwingine yeyote...huenda ana matatizo yake ya kiafya au ni mtumiaji wa dawa za kulevya.

Pia kuna ugonjwa unaitwa malale (sleeping sickness), unalala popote saa yoyote.
 
Picha la kihindi limechezwa hapo, ila lengo lake kamili sijalijua. 1. Mganga wa kienyeji CV yake inatakatishwa? 2. Mwenyewe ame-direct hili picha ili kuwaogofya vibaka wasimsumbue tena? Kuna nadharia nyingi tu lakini kitu kilicho wazi ni kuwa mimi siwezi kuchotwa mawazo na hili picha la kihindi...
Kutisha watu...maana fuoni..kuna changanyikeni... wezi balaaa...
 
Hivi yule aliyenasia kifurushi mgongoni na yule aliyrkutwa kwenye paa la nyumba iliishiaga wapi vile
Ilikuwa ni kiki.nilimsikia kwenye media moja akihojiwa alijibu kuwa ile ilikuwa ni kama kiki ili ajipatie umaarufu
 
Huyo Jamaa ni Teja wa pale kiembe samaki. Alizidiwa na unga akiwa ndani ya gari.
Sio kweli (dogo mwizi) ni kijana anaitwa Kimoko ni mkaazi wa Fuoni. Farouk Karim kwasasa haishi Kiembe samaki, anaishi Fuoni. [emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom