Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Hii movie ya mission impossible ni Kama huwa Wana tuonyesha Siri zao.
๐Ÿ‘‰Kuna technology balaaa
THAT'S THE POINT! ๐Ÿ‘๐Ÿพ

AHSANTE KWA KUSOMA MAWAZO YANGU, KUNIELEWA NA KUUJUA UKWELI THABITI WA MAMBO. WACHACHE SANA WENYE KUTAZAMA MOVIES ZA NAMNA ILE NA KUZIELEWA.

MAZWAZWA WANATAZAMA TU WAKIMALIZA NA MABISI YAO NA MAPEPSI YAO WANAENDA NYUMBANI VICHWA MCHUNGWA, KUMBE YALE MAMBO YANA MAANA YAKE.

KUNA TOM CRUISE NA GERRARD BUTLER... YULE ALIYECHEZA "LONDON HAS FALLEN" WAFUATILIE SANA WALE JAMAA UTAPATA KITU.
 
Fast furious mwisho mi fast 8. Hayo mengine yaliyofuata ni akili zilizochoka za Van Diesel na kutaka kumilikk franchise tu. Ingawa sijaona FastX lakini najua itakuwa utopolo tu. Inatakiwa aingize watu wapya ktk ku develop story. Naiona ikifa kibudu kama Resident Evil tuu
MI force is best
 
Yeah, ana Ingiza watu wenye majina- still impact yao ndogo.
๐Ÿ‘‰Checking mi, watu wapya ila impact katika story ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.
๐Ÿ‘‰ Mission impossible 7 part one, ime Isha vizuri mnoo
 
Mission Impossible ni akili tupu zilizozidi maarifa ya kibinadam.

Mpaka sasa ni 95% kwenye huu uzi MI imejizolea points zote kuwa ni bora zaidi na haiwezi kuboa kurudia rudia kuitazama wakati wowote.

Nimeikumbuka IRIS ambapo ni the best leading series of all time since 2010.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Iris ilinifanya nisilale na merlin
 
Na pia ni actor anayejua kutumia vitu vingi sana mpaka fighter jet anaendesha hata ndehge za kawaida
 
Nimeichek Fast X binafsi haijanibamba kihivyo!
 
Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.

Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo

4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners


Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ