Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.

Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo

4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners

Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Fast furious hata hiyo theme yao ya u gangster na heroism, ime potea siku hizi.
 
Kitu gani Tena, tell me
Mimi ni miongoni mwa watu niliwahi kuwa mtazamaji bora sana wa hizi movies ambazo mmekuwa mkizichambua
Lakini kikapita kipindi bila kuziangalia basi ile hali ikanifanya nikawa mvivu sana wa kuangalia movies.
Natamani sana kuangalia movies hasa zile ambazo si za kutafsiriwa kwa manufaa yangu kadhaa but nashindwa sababu nimekuwa off mood na kuangalia movies.
Movie ya saa 2:30 inaweza nichukua week 1 hadi mbili kuimaliza.
Nipe mawazo mkuu
 
Take your time, good thingy aren't done in a hurry.
👉And kutazama kidogo kidogo, maybe dk 15 hadi nusu saa- 30.
👉Tambua ni genre gani ya movie una penda - action, comedy au hata adventure.
👉Ujue muda wako mzuri wa kutazama filamu au tamthilia.
👉 Mengine ata kushauri Charles kilian
 
Shukrani mkuu kwa mawazo yako yaliyojitisheleza.
Binafsi mimi nilikuwa mpenzi wa movies zote but mostly action movies.
Mambo ya spying na mishe kama hizo
Sio kwamba siwezi angalia kabisa movie ila kuna ile hali ya kwamba nikisikia kitu kinaitwa movie kuna kitu kinakuwa kama kinanivuruga vile.
Sasa natafuta dawa ya huu ugonjwa na nina imani nitaipata.
 
Una vurugwa na nini?.
 
Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.

Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo

4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners

Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Pata kinywaji baridi ukipendacho, nalipa kwa lipa tigo au airtel money , uko vzr ktk movies ,umeelewa nilivyoelewa
 
Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.

Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo

4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners

Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
@mleta mada unakumbuka nilikuambia utofauti huu
 
Back
Top Bottom