Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #101
Vipi equalizer 3 Ume iangalia??, Ni 🔥🔥Weeeeeh Mission Impossible is impossible to beat, hadi james bond anakaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi equalizer 3 Ume iangalia??, Ni 🔥🔥Weeeeeh Mission Impossible is impossible to beat, hadi james bond anakaaa
Mzew wangu Intelligent businessmanVipi equalizer 3 Ume iangalia??, Ni 🔥🔥
Fast furious hata hiyo theme yao ya u gangster na heroism, ime potea siku hizi.Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.
Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo
4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners
Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Uko POA Kijana??Mzew wangu Intelligent businessman
Niko poa mkuu wangu.Uko POA Kijana??
Hapo ukute baba yake hajafikisha hata 50Tom cruse ni mtoto???, Au ndo ume Shiba kiporo kwa shemeji[emoji848]
Naomba unishauri kitu mkuu.Uko POA Kijana??
Afu Jamaa kaja kwa hasira zote😆😆, Eti fast Kali😆.Hapo ukute baba yake hajafikisha hata 50
Kitu gani Tena, tell meNaomba unishauri kitu mkuu.
Mimi ni miongoni mwa watu niliwahi kuwa mtazamaji bora sana wa hizi movies ambazo mmekuwa mkizichambuaKitu gani Tena, tell me
Take your time, good thingy aren't done in a hurry.Mimi ni miongoni mwa watu niliwahi kuwa mtazamaji bora sana wa hizi movies ambazo mmekuwa mkizichambua
Lakini kikapita kipindi bila kuziangalia basi ile hali ikanifanya nikawa mvivu sana wa kuangalia movies.
Natamani sana kuangalia movies hasa zile ambazo si za kutafsiriwa kwa manufaa yangu kadhaa but nashindwa sababu nimekuwa off mood na kuangalia movies.
Movie ya saa 2:30 inaweza nichukua week 1 hadi mbili kuimaliza.
Nipe mawazo mkuu
Shukrani mkuu kwa mawazo yako yaliyojitisheleza.Take your time, good thingy aren't done in a hurry.
👉And kutazama kidogo kidogo, maybe dk 15 hadi nusu saa- 30.
👉Tambua ni genre gani ya movie una penda - action, comedy au hata adventure.
👉Ujue muda wako mzuri wa kutazama filamu au tamthilia.
👉 Mengine ata kushauri Charles kilian
Una vurugwa na nini?.Shukrani mkuu kwa mawazo yako yaliyojitisheleza.
Binafsi mimi nilikuwa mpenzi wa movies zote but mostly action movies.
Mambo ya spying na mishe kama hizo
Sio kwamba siwezi angalia kabisa movie ila kuna ile hali ya kwamba nikisikia kitu kinaitwa movie kuna kitu kinakuwa kama kinanivuruga vile.
Sasa natafuta dawa ya huu ugonjwa na nina imani nitaipata.
Sawa sawa mkuuFananisha MI na Bourne Identity siyo na hao makompyuta
Pata kinywaji baridi ukipendacho, nalipa kwa lipa tigo au airtel money , uko vzr ktk movies ,umeelewa nilivyoelewaKwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.
Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo
4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners
Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Kabisa itakuwa fresh sana yaani sanaNatamani Jason Bourne watu letee movie nyingine aisee.
👉 Mission, James bond na equalizer washa fanya yao
Sio lazima niwe ninavurugwa ila ni neno ambalo nimelitumia kuonesha namna ambavyo nimeishiwa na mood ya kuangalia movie.Una vurugwa na nini?.
@mleta mada unakumbuka nilikuambia utofauti huuKwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.
Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo
4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners
Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Kabisa ndo maana ni kalii sana waendelee kuzitoa zifike tano kama zile za james bondCharles kilian, Mr Q, Mtu Chake, Franky Samuel, Dream Queen
👉Nime maliza kuiangalia equalizer 3, na niseme kwamba hi kitu ni 🔥🔥
👉Kama vipi wange ifanya series tu, maana mtunzi ana mpatia Sana DenzelView attachment 2772587