Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
1600688455809.png


1600688471365.png
 
Kuna Clip moja haka kamama Kanasema kuwa Yeye ni Mmoja WA Directors
Pia lile Jengo ni lake na IMMMA Ka Rent house,
Kumbe kaliajiriwa pale
 
Baada ya Immma Advocates kumlima barua Fatma Karume, shangazi amejibu kwa kuonyesha hisia zake kufukuzwa kwenye taasisi ambayo amechangia kuijenga huku akidai kosa ni uanaharakati. Fatma ameenda mbali na kusema heri kumfadhili mbuzi utampika umle mchuzi.

Tarehe 16 Septemba wabia wenzake kwenye mtaji walikaa pembeni na kumjadili na kuamua aondoke bila kumwambia sababu.

Pia soma > Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates
 
Back
Top Bottom