Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

Nadhani tasnia ya sheria itakuwa hairuhusu kuingia kwenye siasa, uanaharakati, kutokea hapo ndipo wakaamua watapoteza wateja hasa wanaotokea upande wa pili wa kisiasa so wanaona liwalo na liwe.

Aitha walikaa naye kitako na kumwambia 'eeh bana tenda haziji kwa sasa na wewe ndiye sababu so tuna Act kukuondoa but behind bado ni mdau.
 
Anaongea hayo bada ya kufukuzwa: Wakati yupo uko IMMA hakujua huyo ni mbuzi au sio mbuzi?
 
Nadhani tasnia ya sheria itakuwa hairuhusu kuingia kwenye siasa, uanaharakati, kutokea hapo ndipo wakaamua watapoteza wateja hasa wanaotokea upande wa pili wa kisiasa so wanaona liwalo na liwe.
Aitha walikaa naye kitako na kumwambia 'eeh bana tenda haziji kwa sasa na wewe ndiye sababu so tuna Act kukuondoa but behind bado ni mdau.
Hujajua nikuwa Kwa sasahivi taasisi zote za binafsi zinanunuliwa na jiwe zote zikiwemo TV, radio, nagazeti na misikiti, hivyo alienunua ndio kamfukuza, na zile za umma ni amri tu, kwani hujui had cuf, nccr na ile Ya mrema na shibuda zilishanunuliwa? Kama hujui kununuliwa ingia ubunge Au udiwani uone kesho yake watu watakuja na bei
 
Share kawa nazo lini? Kelele tu yule ila hamna kitu, hajawahi kusimama mahakamani na kushinda kesi hata moja
Nyie MACCM kweli hamjui kiingereza hata kidogo, barua inasema ni Partener wao, sijui unajua maana ya partner ni nini kwenye business.
Barua inasema wazi kabisa, kuna makubaliana ya kisheria walikubaliana kuhusu kumuondoa mmoja wa partner kama wanaona hawamuitaji tena, na hiyo ndio imetokea kwa Fatma Karume.
Kwenye biashara unaweza hata mtu kuwa na share, lakini kama bodi ya wakuregenzi imeamua kukutoa kwenye management basi wanaweza kukutoa, lakini hii haina maana kwamba hisa zako zinakuwa zero. Hii iliwai kutokea hata kwa Steve Job kwenye kampuni ya Apple.
 
Baada ya Imma advocates kumlima barua Fatma Karume, shangazi amejibu kwa kuonyesha hisia zake kufukuzwa kwenye taasisi ambayo amechangia kuijenga huku akidai kosa ni uanaharakati. Fatma ameenda mbali na kusema heri kumfadhili Mbuzi utampika umle mchuzi.

Tarehe 16 Septemba wabia wenzake kwenye mtaji walikaa pembeni na kumjadili na kuamua aondoke bila kumwambia sababu.
Kuna coercion and intimidations to these poor companies ili zi-part ways na Karume.

Kuna zimwi limegeuka dude haramia kuonea wananchi wake yenyewe.

Udikteta upo juu ya sheria,wakati sheria ni rule of the game kila mtu azifuate including the gvt itself,lakini kwa gvt ya kidikteta,that goes out of the window.

Intimidation and coercion done on its own people ni vitu vinavyofanywa na weaker governments!

Wangeweza muacha awe none functioning director,ila na hilo wamemtoa which means kuna insane force kutoka huko on her...

Madirector wenzie wameona they have a lifestyle to finance,hawawezi jeopardize their daily money sababu ya rafiki yao mmoja,ikabidi ugongwe usaliti!

I can understand their side too....

Ndio maana tunasema Rule of Law ni kitu muhimu sana,kusingekua na impunity ya namna hii,one human being can decide the fate of your life,your family on this earth na huna pa kushitaki except kwa mungu if at all he exists!

Huwezi fanya huu upumbavu Kenya kuna functioning Rule of Law

MATAGA power hua ni temporary,be careful siku equation ikageuka!
 
Mbona kama ameumia sana kwani hana pesa ya kula au anatafuta huduma ubeberuni
 
Demand ni ndogo supply ya mawakili ni kubwa...
siku hizi hizo kazi hazilipi ki vile......
naona dada amegoma kupiga goti.....
 
Back
Top Bottom