Baada ya Imma advocates kumlima barua Fatma Karume, shangazi amejibu kwa kuonyesha hisia zake kufukuzwa kwenye taasisi ambayo amechangia kuijenga huku akidai kosa ni uanaharakati. Fatma ameenda mbali na kusema heri kumfadhili Mbuzi utampika umle mchuzi.
Tarehe 16 Septemba wabia wenzake kwenye mtaji walikaa pembeni na kumjadili na kuamua aondoke bila kumwambia sababu.
Kuna coercion and intimidations to these poor companies ili zi-part ways na Karume.
Kuna zimwi limegeuka dude haramia kuonea wananchi wake yenyewe.
Udikteta upo juu ya sheria,wakati sheria ni rule of the game kila mtu azifuate including the gvt itself,lakini kwa gvt ya kidikteta,that goes out of the window.
Intimidation and coercion done on its own people ni vitu vinavyofanywa na weaker governments!
Wangeweza muacha awe none functioning director,ila na hilo wamemtoa which means kuna insane force kutoka huko on her...
Madirector wenzie wameona they have a lifestyle to finance,hawawezi jeopardize their daily money sababu ya rafiki yao mmoja,ikabidi ugongwe usaliti!
I can understand their side too....
Ndio maana tunasema Rule of Law ni kitu muhimu sana,kusingekua na impunity ya namna hii,one human being can decide the fate of your life,your family on this earth na huna pa kushitaki except kwa mungu if at all he exists!
Huwezi fanya huu upumbavu Kenya kuna functioning Rule of Law
MATAGA power hua ni temporary,be careful siku equation ikageuka!