antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hapo walijifurahisha tuu.. kama ambavyo wewe ukiamua leo kujiita mwewe hutakuwa mweweHizo kesi za kina Machano mara baada ya kesi kuamriwa kuwa Zanzibar sio nchi wazanzibar wakaona mahakama kama inawadharau wakaenda mbuo kubadilisha katiba iliyokuwepo ya Zanzibar isomeke wazi kabisa kuwa Zanzibar ni nchi
Ndio hadi leo inasomeka kuwa Zanzibar ni Nchi hiyo kesi ndio ililetelea hayo mabadiliko
Subiri utekelezaji wa hukumu ndo utajua hujuiHizo kesi za kina Machano mara baada ya kesi kuamriwa kuwa Zanzibar sio nchi wazanzibar wakaona mahakama kama inawadharau wakaenda mbuo kubadilisha katiba iliyokuwepo ya Zanzibar isomeke wazi kabisa kuwa Zanzibar ni nchi
Ndio hadi leo inasomeka kuwa Zanzibar ni Nchi hiyo kesi ndio ililetelea hayo mabadiliko
Hajui maana ya neno DIVISIONSoma post ya kwanza ya mleta mada.... Mahakama kuu ya Tanzania....
Tufanye mleta mada kakosea.... unadhani mahakama ya Zanzibar haina akili hata ijishughulishe na kesi ya mtu asiye raia wake? Unajua mipaka/makubaliano ya hizi mahakama kuu mbili juu ya kesi za raia wake?
Raia wa Tanganyika lazima atetewe na watangabyika wenzake kama ambavyo raia wa Zanzibar huteteana kwenye mambo yaoKajaa tele na ngumi kakunja anapambana kuzuia kutekekezwa kwa hukumu
Mbona walipeleka mashehe wa uamsho Bara?Raia wa Tanganyika lazima atetewe na watangabyika wenzake kama ambavyo raia wa Zanzibar huteteana kwenye mambo yao
You need a doctor...Raia wa Tanganyika lazima atetewe na watangabyika wenzake kama ambavyo raia wa Zanzibar huteteana kwenye mambo yao
Haahahahaaaha Simu yangu inasumbua F vs THapo kwenye F nilijua ni T
Mkuu huu utetezi wako una makengeza,Nitengeneze defence team ya nini ? Niipeleke nchi za nje kwenye nchi huru ya nje ya nchi ya Zanzibar nchi ya watu wengine?
An addendum please;You need a doctor...
Kwa hiyo katiba ya nchi ya Zanzibar ni null and void kwenye mahakama za Tanzania? .Katiba inayotamka wazi kuwa Zanzibar ni nchi na katiba ambayo ilipigiwa kura na RAIA wote wa nchi ya Zanzibar na kupitishwa na bunge LA nchi hiyo yaani baraza LA wawakikishi na kusainiwa na Raisi wa Zanzibar .Kwa hiyo hiyo katiba ni batili mbele ya mahakama za Tanzania?Hapo walijifurahisha tuu.. kama ambavyo wewe ukiamua leo kujiita mwewe hutakuwa mwewe
Ni kweli kabisa. Ngoja tumpuuzeBabu
Si unajua wengi tuna Id fake humu JF. Utajuaje akawa ndo YEYE akidhani anabishana na Jaji aliyehukumu kesi yake?
katiba ya Zanzibar imeruhusu Jeshi la Polisi Tanzania likalinde raia wake? Limeruhusu JWTZ likalinde mipaka ya nchi yake? Kwanini isiwe kwa Mahakama Kuu ya Tanzania ?Kwa hiyo katiba ya nchi ya Zanzibar ni null and void kwenye mahakama za Tanzania? .Katiba inayotamka wazi kuwa Zanzibar in nchi na katiba ambayo ilipigiwa kura na RAIA wote wa nchi ya Zanzibar na kupitishwa na bunge LA nchi hiyo yaani baraza LA wawakikishi na kusainiwa na Raisi wa Zanzibar .Kwa hiyo hiyo katiba ni batili mbele ya mahakama za Tanzania?
Kule wana jaji mkuu wao kabisa huteuliwa na huapishwa na raisi wa Nchi ya Zanzibar usichanganye mambokatiba ya Zanzibar imeruhusu Jeshi la Polisi Tanzania likalinde raia wake? Limeruhusu JWTZ likalinde mipaka ya nchi yake? Kwanini isiwe kwa Mahakama Kuu ya Tanzania ?
Kwahiyo Zanzibar ni nchi isiyo na Jeshi la Polisi wala Jeshi la ulinziKule wana jaji mkuu wao kabisa huteuliwa na huapishwa na raisi wa Nchi ya Zanzibar usichanganye mambo
Ziko nch kibao ziko hivyo mfano Canada,Newzealand na Australia ni nchi kamili lakini majeshii ya ulinzi na usalama yako chini ya malikia wa Uingereza ni majeshi ya uingereza na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ya nchi hizo ni malkia wa uingereza lakini katiba zao zinatamka wazi kuwa zenyewe ni nchi kamili na ziko hadi umoja wa mataifaKwahiyo Zanzibar ni nchi isiyo na Jeshi la Polisi wala Jeshi la ulinzi