Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.
Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana
Kupitia akaunti yake ya twitter, Fatma Karume ameweka wazi kuwa, mwaka huu 2022 atahakikisha anakazia hukumu ili alipwe stahiki zake.
Swali la.kujiuliza. endapo bwana Musiba atashindwa kulipa, ama.hata kama.mali zake zikikusanywa na kuonesha hana uwezo wa kulipa kiwango hicho. Nini kitajiri?
Jasusi mbobezi naye ameonekana kufuatilia hukumu yake ili aweze kukazia madai ya haki zake
View attachment 2092336