Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.

Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana

Kupitia akaunti yake ya twitter, Fatma Karume ameweka wazi kuwa, mwaka huu 2022 atahakikisha anakazia hukumu ili alipwe stahiki zake.

Swali la.kujiuliza. endapo bwana Musiba atashindwa kulipa, ama.hata kama.mali zake zikikusanywa na kuonesha hana uwezo wa kulipa kiwango hicho. Nini kitajiri?

Jasusi mbobezi naye ameonekana kufuatilia hukumu yake ili aweze kukazia madai ya haki zake
Screenshot_20220123-071800_Twitter.jpg

View attachment 2092336
 
Nami nitakazia na kuhakikisha watoto wanakula wanaendelea kuwa na malazi mazuri wasome ili waendeshe maisha yao vizuri.
Fikra za sisi maskini kina Fetty matajiri wacha wafanye yao…
 
Hii hukumu imekugusa namna gani mkuu?

Je funzo gani jamii inapata kutokana na hukumu hii?

Je, ni utajiri wa Fatma Karume ndiyo ulimsukuma kupeleka kesi ya madai mahakamani?
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.

Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana

Kupitia akaunti yake ya twitter, Fatma Karume ameweka wazi kuwa, mwaka huu 2022 atahakikisha anakazia hukumu ili alipwe stahiki zake.

Swali la.kujiuliza. endapo bwana Musiba atashindwa kulipa, ama.hata kama.mali zake zikikusanywa na kuonesha hana uwezo wa kulipa kiwango hicho. Nini kitajiri?

Jasusi mbobezi naye ameonekana kufuatilia hukumu yake ili aweze kukazia madai ya haki zakeView attachment 2092335

View attachment 2092336
Musiba hakukata rufaa kama ambavyo chawa walimdanganya?
 
Hiyo ndiyo inaitwa omuntu omuntu yaani man to man.

Musiba sasa hivi anaishi maisha magumu sana kuliko alivyokuwa anaishi wakati yupo channel ten
 
Fatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake

Msiba ni mwanahabari aliye nchi ya Tanganyika yeye wala sio raia wa Zanzibar na hana mpango wa kuwa raia wa nchi ya Zanzibar

Pili Musiba na vyombi vyake vya habari. Vimesajiliwa Wizara ya habari ya Tanganyika.

Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!

Hiyo hukumu anayokazia nchi za nje kwenye nchi ya nje ya Zanzibar yenye katiba yake,Raisi wake,Jaji mkuu wake na wimbo wa taifa wake watajuana huko huko akazie atakavyo .
 
Zanzibar na Tanganyika zina mikataba ya kubadilishana wahalifu.

Lakini inawezekana una hoja hapa. Kwa nini usitengeneze defence team kumtetea Musiba? Hii hoja inaweza kuzungumzika Mahakama ya Rufaa

Vipi kuhusu kuhusu dude zito linalokuja la Jasusi Mbobezi? Mahakama ina jurisdiction kumhukumu Musiba pia?
 
Nitengeneze defence team ya nini ? Niipeleke nchi za nje kwenye nchi huru ya nje ya nchi ya Zanzibar nchi ya watu wengine?
 
Fatima Karume alifungua hiyo kesi mahakama ya nchi huru ya Zanzibar ambayo ina had I jaji mkuu wake

Msiba ni mwanahabari aliye nchi ya Tanganyika yeye wala sio raia wa Zanzibar na hana mpango wa kuwa raia wa nchi ya Zanzibar

Pili Musiba na vyombi vyake vya habari. Vimesajiliwa Wizara ya habari ya Tanganyika.

Mambo ya habari si mambo ya muungano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni sawa na Mtanzania kufungua kesi Tanzania kushtaki gazeti linalochapisha habari japan na lililosajiliwa nchi huru ya Japani kuwa limemkashfu na mahakama ya Tanzania ikalihukumu hilo gazeti kuwa limlipe fidia huyu raia wa nchi huru ya Tanzania !!!

Hiyo hukumu anayokazia nchi za nje kwenye nchi ya nje ya Zanzibar yenye katiba yake,Raisi wake,Jaji mkuu wake na wimbo wa taifa wake watajuana huko huko akazie atakavyo .
Kama ndivyo, Shangazi hashindwi kukazia hukumu hapo Bara..
Na madai halali ya mh. Membe je?
 
Back
Top Bottom