Shangazi anadai hadi kuamua kufunguka ni kuwa raia wanamuhoji sana kuhusu ndoaNimeisomaaaa
Nanuzuri namjuwa huyo Shangai yenu a-z
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangazi anadai hadi kuamua kufunguka ni kuwa raia wanamuhoji sana kuhusu ndoaNimeisomaaaa
Nanuzuri namjuwa huyo Shangai yenu a-z
Ova
Fatuma atakua na shida ktk ndoaKi vp tena,ulijuwa
Ova
Hahaaaaa, acha kumdharau mwenzio hivyo.Unaona umeandika kitu cha maana sana
Ukisikia interview yake ,alisadiki kusema Watoto wanampenda sana baba yao kuliko yeye.
Mara nyingi baba mwenye tabia chafu, automatically watoto hupoteza bond naye.
Katika hili nahisi kuna jambo.
AseeeeKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
HahahaUkiisikia ile interview mpaka unaboreka,fatuma anakera kuanzia mtazamo mpaka namna anavyoongea ni mtu asiye na ile ladha ya uswahili au uafrika kabisa.
Kwa aina ile ya mwanamke kama angekuwa na mume mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23],huyo jamaa alifaa aitwe bwana wa majeshi,asingekuwa mtu wa kawaida.
Kanaulizwa ulikuwa unapika kama mabinti wengine🤣🤣,enda sikia jibu.alikataaa kavu kavu NO,halafu ndio akaanza kujitetea kwamba sababu ya umri angeungua moto.
Huyu nina uhakika hata sasa kupika hajui.
Maana ya hili neno ni nn!chupi mkononi
Unavua chupi popote mda wowoteMaana ya hili neno ni nn!
Ni sawa na neno malaya sioUnavua chupi popote mda wowote
Ndio.Ni sawa na neno malaya sio
Atwambie,inakuwaje mumeo aliyekupenda akakuoa aamue kurudi saa kumi usiku? Anaanzaje kuzaa nje na wewe upo? Kwa misimamo yake ni ngumu kuishi nayeKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Usitoe hukumu bila kusikiliza na maelezo ya huyo mume wakeKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Twende mbele turudi nyuma
Mwanaume mwenzetu katuabisha sana. Kwanza kuishi nyumba ya mwanamke, alafu unazaa nje wakati unalishwa. Aiseee nimeshangaaa mno unapata wapi nguvu ya kuzaa nje uku unalishwa? Kibaya zaidi unadirki unataka kumpokonya mali mwenza wako uliemsaliti mwenyewe, ndio dada anaweza akawa ana shida zake ila mwanaume
Mwenzetu aitwe akanywe🤣 huogopi ata kulogwa. Me siwezi mtetea maana namfaham ni chupi mkononi ila nilitegemea feza anazo, yani unakuwa chupi mkonono afu unalishwa 😅 hamna mwanamke anavumilia mwanaume anaemlisha, ukitaka heshima tafuta za kwako awadh, ona sasa unadhailishwa tunakutetea uku tumefumba macho