bg_dg_dy
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 606
- 493
Mfumo dume katika jamii ndio umetamadali, kwani siku zote mwananke hunyooshewa kidole lkn mwanaume hatazamwi makosa yake.
Kuna msemo upo usemao “hakuna changupaka bali changudoa”
Hii inamaanisha makosa ya mwanamke huwa ya ainekana zaidi kuliko makosa ayafanyayo mwanaume hasahasa kwenye suala la kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa/mahusiano.
Ndio kwanza mwanaume anapongezwa na jamii/marafiki kwa kuwa kidume/rijali akitembeza kichapo kwa wanawake wengi. Ila upande wa pili jamii inamwona mwananke kuwa ni mhuni kwa kutembezewa kichapo na wanaume wengi