Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

kwa bahati naifahamu familia ya Karume na naifahamu familia ya mumewe ila kiukweli yule jamaa alimvumilia sana Fatma. Na hao watoto sio wa nje ni wa mke mwengine wa jamaa ambae alimuoa ili kuepuka balaa la huyu kichaa Fatma
Afadhali hii comment imetoka humu maana upande wa pili hatukuona post yoyote.

Unajua sababu ya mumewe kurudi alfajiri na kuzalisha nje ya ndoa Kama mbuzi?
Huenda alichoka kuishi na mwanamke jeuri na mwanaharakati hadi ndani ya ndoa.
Hiyo kauli ya shangazi ni one side story. Tungesikia na kwa mumewe.
Mwanamke akishakuwa na mdomo hili ni rahisi sana kwa sisi wanaume kulifanya.

Mme wake no yule anayemiliki zile primier care pharmacy
Dr---- binafsi namjuwa vzr + maswahaiba aliyopitia kwa bi ftm
Ngoja niishie hapa

Ova
Afadhali mkuu nawe umeweka jambo kwenye hili, ni wazi majibu tayari tumeshayapata na kwa jinsi Fatma alivyo wala haihitaji utetezi mwingi kumjua.

Ftm anaongea sana + Ana gubu

Ova
Lazima atafutiwe msaidizi tuu kwa mtu mwenye kujielewa.

Huyo mume kwanini alikua anarudi saa kumi usiku??

Naamini mazingira ya nyumbani hayakuwa yanavutia kuwahi.
Kabisa na ndio maana akaongeza mke mwingine.

Msimbe akikwambia maneno 10 khs aliyekua Mumewe, chukua 2 mengine mwachie mwnyw
Yes mkuu huo ni ukweli mchungu.

Mwanaume unazaaje nje kama mbuzi hali una ndoa yako
Ukikutana na changamoto ndio utaelewa kwa nini watu wanaamua kuzaa nje au kuongeza mke.

Hakunaga mwanamke mwenye mdomo amedumu na ndoa labda ndoa za distance
Naungana na wewe mkuu, tunahitaji sana amani tunaporudi manyumbani mwetu ila kukiwa na kelele basi ndio hivyo kinachofatia ni kupewa lawama.
 
Siwezi kujaji upande mmoja sijui chanzo cha yeye kufanya yale,yawezekana ni ujinga wake au mwanamke alichangia.Yote kwa yote inaonekana shangazi alikereka sana
 
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".

View attachment 2866860

Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.

Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Wanaume wenzangu!kabla hatujamhukumu mume wa Fatma!tujiulize kwa hulka ya Fatma kuna mwanaume mwenye misimamo yake atakubali kuishi nae kweli?lbd wanaume wenye kupenda kupelekwapelekwa lkn mwanaume mwenye principles huezi kuishi na mwanamke mwenye hulka za fatma!
 
Hako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.
Mimi ngemuoa mtoto wa rais jumapili ingekua off ya wafanyakazi wote wa ndani. Kuanzia deki, kuosha vyombo, kupika ingekua Mimi ili tu huku nimevaa msuli malkia wangu ajisikie kupendwa.
Wanawake wana wadharau wanaume wa sampuli yako. Wale wa kujipendekeza kiasi cha kulamba watu miguu.
Tena huishia kuwaumiza hao wanaume.
Wanataka watu wenye kujiamini siyo mazoba mapoyoyo.
 
Bora shangazi kaweka wazi mana baadhi ya sisi wanawake huwa tunaitaka ile heshima tu huku yaliyomo humo ndoani ni mazito ambayo yanaeza epukika na maisha mengine yakaendelea fureshi kabisa.

#Mibadonimolakini. [emoji3]

Wewe ndio shahidi wa kwanza mahakamani ili kudhibitisha ile kauli yetu pendwa ya kataa ndoa.
 
Afadhali hii comment imetoka humu maana upande wa pili hatukuona post yoyote.

Mwanamke akishakuwa na mdomo hili ni rahisi sana kwa sisi wanaume kulifanya.

Afadhali mkuu nawe umeweka jambo kwenye hili, ni wazi majibu tayari tumeshayapata na kwa jinsi Fatma alivyo wala haihitaji utetezi mwingi kumjua.

Lazima atafutiwe msaidizi tuu kwa mtu mwenye kujielewa.

Kabisa na ndio maana akaongeza mke mwingine.

Yes mkuu huo ni ukweli mchungu.

Ukikutana na changamoto ndio utaelewa kwa nini watu wanaamua kuzaa nje au kuongeza mke.

Naungana na wewe mkuu, tunahitaji sana amani tunaporudi manyumbani mwetu ila kukiwa na kelele basi ndio hivyo kinachofatia ni kupewa lawama.
Huyu Ana matatizo sana tena siyo madogo,alafu ni much know sana
Majirani tu na mashamba mitaa ya kwao wanajuwa changamoto
Zake
Mkuu kuwajua watu raha sana
Ukiwaona wanavyongea kwenye media au mbele ya jamii unaweza sema ni watu haswa 😄
Kumbe .....
Fatma na dr O walishaaxhana muda sana nashangaa sahv anakuja na kuponda ex wake
Labda kammiss huwezi juaa

Feminist nao ni binadamu hawawezi kuikimbia NATURE. Kiasili lazima binadamu awe na mtu anayempenda kimapenzi. Kinachomfanya Shangazi kuropoka ni kumiss mahaba ya ex wake.
 
Back
Top Bottom