Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji1787][emoji1787] Mbingu na ardhiFatuma karume ndie FaizaFoxy ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787] Mbingu na ardhiFatuma karume ndie FaizaFoxy ??
Chumvi uliyokula ikikusanywa yote unafungua duka la jumla la chumvi.Mie rika langu na wazazi wake.
Ndio maana pasua kichwa..wamekaa kulipiza lipiza tu vile yaliowakuta..Ndio Mkuu Single mazas wamepitia mengi au kwa ujinga wao au kwa bahati Mbaya wengi wa a maumivu sana...
Na yule mtoto wa Dr bingwa nae huwa nawaza nae ni wale wale kama rafikiye.Huyu Ana matatizo sana tena siyo madogo,alafu ni much know sana
Majirani tu na mashamba mitaa ya kwao wanajuwa changamoto
Zake
Mkuu kuwajua watu raha sana
Ukiwaona wanavyongea kwenye media au mbele ya jamii unaweza sema ni watu haswa 😄
Kumbe .....
Fatma na dr O walishaaxhana muda sana nashangaa sahv anakuja na kuponda ex wake
Labda kammiss huwezi juaa
Ova
Job true trueKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Hilo jamaa kulia linalokenua meno lina roho mbayaa.
Wewe utakuwa adriz tu ama Mufti kuku The InfinityHako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.
Mimi ngemuoa mtoto wa rais jumapili ingekua off ya wafanyakazi wote wa ndani. Kuanzia deki, kuosha vyombo, kupika ingekua Mimi ili tu huku nimevaa msuli malkia wangu ajisikie kupendwa.
GT senior JF counter narcotics expert please ongezea nyama kwa faida ya wengi jamvin.Mme wake no yule anayemiliki zile primier care pharmacy
Dr---- binafsi namjuwa vzr + maswahaiba aliyopitia kwa bi ftm
Ngoja niishie hapa
Ova
KuuumbehMme wake no yule anayemiliki zile primier care pharmacy
Dr---- binafsi namjuwa vzr + maswahaiba aliyopitia kwa bi ftm
Ngoja niishie hapa
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule anayeongea sana baada ya kuachana ndo kaumia zaidi. Hilo tamko la Shangazi lina machungu na majuto mengi sana ndani yake. Aolewe na Mdude kwasababu wote ni wanaharakati wataendana.
Ni funzo kwamba binti alelewe kuwa Mke wa mtu. Vinginevyo tafrani.Wanaume wenzangu!kabla hatujamhukumu mume wa Fatma!tujiulize kwa hulka ya Fatma kuna mwanaume mwenye misimamo yake atakubali kuishi nae kweli?lbd wanaume wenye kupenda kupelekwapelekwa lkn mwanaume mwenye principles huezi kuishi na mwanamke mwenye hulka za fatma!
Hata wenyewe hautajisema vibayaAmeongea upande wake na siku zote inajulikana hawezi kujisema vibaya, vipi kuhusu upande wa pili?
Mwanaume yeyote anayejitambua anao AMANI ya nafsi yake. Akiikosa hapa anaifuata kwingine!Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Mdude ameandaliwa Mis Ethiopia ili amwoe.Yule anayeongea sana baada ya kuachana ndo kaumia zaidi. Hilo tamko la Shangazi lina machungu na majuto mengi sana ndani yake. Aolewe na Mdude kwasababu wote ni wanaharakati wataendana.
Una maoni gani @dr gwajimaYani huyo Fatuma hata angesema nini hakuna mwanaume angeweza kuishi na mwanamke kama yeye! Kwanza Dr alijitahidi sana….! Mtu umnyime unyumba na umpigie makelele kisa mtoto wa Rais ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwanamke mnabyomuona nyie anaweza kuwa na utii wa kutandika kitanda kweli?? Aweza kukuambia ngoja asome katiba kwanza aone kifungu ndio atandike saaa kama ni wewe hiyo nyumba ungerudi saa ngapi?? Kwanza huyu ndgu yetu alikua anawahi saaaaanaaaa saa 10??? Mm ningerudi saa 2 nabadili nguo nduki...