Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Ndoa kusimama ni jitihada za wote wawili, mkishindwana basi muachane kwa amani na sio kwa kusimangana au vita maana ni wote wawili mmeshindwa kuitunza ndoa yenu
 
Mfumo dume katika jamii ndio umetamadali, kwani siku zote mwananke hunyooshewa kidole lkn mwanaume hatazamwi makosa yake.

Kuna msemo upo usemao “hakuna changupaka bali changudoa”

Hii inamaanisha makosa ya mwanamke huwa ya ainekana zaidi kuliko makosa ayafanyayo mwanaume hasahasa kwenye suala la kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa/mahusiano.

Ndio kwanza mwanaume anapongezwa na jamii/marafiki kwa kuwa kidume/rijali akitembeza kichapo kwa wanawake wengi. Ila upande wa pili jamii inamwona mwananke kuwa ni mhuni kwa kutembezewa kichapo na wanaume wengi
Unaona umeandika kitu cha maana sana
 
Hako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.
Mimi ngemuoa mtoto wa rais jumapili ingekua off ya wafanyakazi wote wa ndani. Kuanzia deki, kuosha vyombo, kupika ingekua Mimi ili tu huku nimevaa msuli malkia wangu ajisikie kupendwa.
Akili ya vijana wa Dar
 
Huyo mme wake ukimwambia achague sabuni au kirudiana nae ataona bora sabauni.

Kwa kifupi huyo Mfeminist kamkumbuka mmewe na mwana naona kaachana nae kakata mawasiliano yote.
 
Hako ka mjamaa katakua hakana akili. Wewe unaoa mtoto wa rais halafu unatembeza kibakora chako nje? Ona Kuna wengine huko Somalia wameoa watoto wa rais, japo wanaosha vyombo lakini wanakula mema ya nchi. Wakitolewa sehemu zenye asali wanapelekwa kwenye zenye maziwa.
Mimi ngemuoa mtoto wa rais jumapili ingekua off ya wafanyakazi wote wa ndani. Kuanzia deki, kuosha vyombo, kupika ingekua Mimi ili tu huku nimevaa msuli malkia wangu ajisikie kupendwa.
Watu kama nyie mpo tayari kuutoa sadaka uanaume wenu kisa kuoa mtoto wa rais
 
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".

View attachment 2866860

Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.

Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.

Huo ndio ujeuri na efeminist wenyewe sasa... mwanaume kuzaa nje tangu lini ikawa shida 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom