Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Ukisikia interview yake ,alisadiki kusema Watoto wanampenda sana baba yao kuliko yeye.

Mara nyingi baba mwenye tabia chafu, automatically watoto hupoteza bond naye.
Katika hili nahisi kuna jambo.

Ukiisikia ile interview mpaka unaboreka,fatuma anakera kuanzia mtazamo mpaka namna anavyoongea ni mtu asiye na ile ladha ya uswahili au uafrika kabisa.
Kwa aina ile ya mwanamke kama angekuwa na mume mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23],huyo jamaa alifaa aitwe bwana wa majeshi,asingekuwa mtu wa kawaida.

Kanaulizwa ulikuwa unapika kama mabinti wengine🤣🤣,enda sikia jibu.alikataaa kavu kavu NO,halafu ndio akaanza kujitetea kwamba sababu ya umri angeungua moto.

Huyu nina uhakika hata sasa kupika hajui.
 
Aseeee
 
Hahaha
 
Twende mbele turudi nyuma
Mwanaume mwenzetu katuabisha sana. Kwanza kuishi nyumba ya mwanamke, alafu unazaa nje wakati unalishwa. Aiseee nimeshangaaa mno unapata wapi nguvu ya kuzaa nje uku unalishwa? Kibaya zaidi unadirki unataka kumpokonya mali mwenza wako uliemsaliti mwenyewe, ndio dada anaweza akawa ana shida zake ila mwanaume
Mwenzetu aitwe akanywe🤣 huogopi ata kulogwa. Me siwezi mtetea maana namfaham ni chupi mkononi ila nilitegemea feza anazo, yani unakuwa chupi mkonono afu unalishwa 😅 hamna mwanamke anavumilia mwanaume anaemlisha, ukitaka heshima tafuta za kwako awadh, ona sasa unadhailishwa tunakutetea uku tumefumba macho
 
Atwambie,inakuwaje mumeo aliyekupenda akakuoa aamue kurudi saa kumi usiku? Anaanzaje kuzaa nje na wewe upo? Kwa misimamo yake ni ngumu kuishi naye
 
Usitoe hukumu bila kusikiliza na maelezo ya huyo mume wake
 
Lakini mkuu; mkewe si ndo wale waohubiri 50/50?
Mwache Mwamba aruke nayo ili bibie afeel venye ambavyo wanaume hufeel pale wanawake wasiochangia chochote huamua kuomba taraka na kuchukua kila kitu.
 
Ki-Omari atapata shida sana kwa kuandikwa kwenye mtandao wa X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…