Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Lakini mkuu; mkewe si ndo wale waohubiri 50/50?
Mwache Mwamba aruke nayo ili bibie afeel venye ambavyo wanaume hufeel pale wanawake wasiochangia chochote huamua kuomba taraka na kuchukua kila kitu.
Ukisaliti ndoa haupewi 50% sheria inasema anaesababisha ndoa kuvunjwa anapokea asilimia 30 🤣🤣
 
Tuanze sababu za uncle kwenda nje na kuamua kuzaa huko je ndani hamtoshelezi ? Anabaniwa sababu za modern aunt ? Zingatia anarusiwa kuwa nao hadi 4.....sasa Uncle ni Dr ....akutana nao kibwena....ukizingua anateua tu wagonjwa wake....awatibu uzuriii
 
Ameongea upande wake na siku zote inajulikana hawezi kujisema vibaya, vipi kuhusu upande wa pili?
Sasa kama shangazi alikuwa hampi chakual cha usiku akiambiwa geuka hageuki alitaka mumewe arudi nyumbani mapema ili iweje

Wakati hapewi
 
Kuishi na Huyu bibi na maunga yake yale yataka moto sana
 
Pole sana mwanangu. Ila kama mumeo alikuwa wa dini yako, alichofanya kinaswihi na ndiyo kazi yake na hiyo ni ibada. Nakushauri uachane na huo uarabu urejee imani zetu za kiAfrika mwanangu. naomba nikushauri jambo. Tafadhali usiwadhalilisha mbuzi wetu bure. Kwani, wao ni mbuzi. Hawatawaliwi na sheria za hayawani waitiwao binadamu wanaojipenda na kujifisifu wakati hawana wanachowazidi wenzao wanyama wanaowaonea kama ulivyofanya.
 
Unknowing,uncook🤣🤣🤣🤣
 
Tuanze sababu za uncle kwenda nje na kuamua kuzaa huko je ndani hamtoshelezi ? Anabaniwa sababu za modern aunt ? Zingatia anarusiwa kuwa nao hadi 4.....sasa Uncle ni Dr ....akutana nao kibwena....ukizingua anateua tu wagonjwa wake....awatibu uzuriii
Tena hizo sababu aziseme Shangazi mwenyewe aliyeyazua mitandaoni. Aseme kwamba Mumewe alianza "sarakasi" lini?. Baada ya nini?
 
Mimi naamini shangazi ana anxiety.....na lazima yuko kwenyedose muda mrefu lazimaaaaa.....jinsi alivyolazimaaa.....akisoma hapa atakubali if yes namuelewaa.....kuna mwenzake wako same kila kituuuu hadi mwiliiiii.....same same shidaaa
 
Kuishi nyumba Moja na Shangazi inahitaji moyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…