mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hana shida ndiyo kwanza sahv anapumuaaaKi-Omari atapata shida sana kwa kuandikwa kwenye mtandao wa X
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana shida ndiyo kwanza sahv anapumuaaaKi-Omari atapata shida sana kwa kuandikwa kwenye mtandao wa X
Tamko la mumewe itakuwa ni sawa na kuangusha bomu la nyuklia Rwanda.Hayo ni yake.
Tumeona upande mmoja hatujaona upande wa pili.
Tuletee na mumewe tusikie upande wa pili.
Ukisaliti ndoa haupewi 50% sheria inasema anaesababisha ndoa kuvunjwa anapokea asilimia 30 🤣🤣Lakini mkuu; mkewe si ndo wale waohubiri 50/50?
Mwache Mwamba aruke nayo ili bibie afeel venye ambavyo wanaume hufeel pale wanawake wasiochangia chochote huamua kuomba taraka na kuchukua kila kitu.
Tuanze sababu za uncle kwenda nje na kuamua kuzaa huko je ndani hamtoshelezi ? Anabaniwa sababu za modern aunt ? Zingatia anarusiwa kuwa nao hadi 4.....sasa Uncle ni Dr ....akutana nao kibwena....ukizingua anateua tu wagonjwa wake....awatibu uzuriiiKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Sasa kama shangazi alikuwa hampi chakual cha usiku akiambiwa geuka hageuki alitaka mumewe arudi nyumbani mapema ili iwejeAmeongea upande wake na siku zote inajulikana hawezi kujisema vibaya, vipi kuhusu upande wa pili?
Sasa ana miss mume wake na watoto shidaaaaSasa kama shangazi alikuwa hampi chakuls chs usiku akiambiwa geuka hageuki alitaka mumewe arudi nyumbani mapema ili iweje
Wakati hapewi
Vipi baada ya hapo aliacha makelele?Sahii kabisa,mi Kuna kipind nlkua na mwanamke ana makelele, na akianza makelele yake, nampotezea hata wiki ili asinivurugie mood yangu.
Kuishi na Huyu bibi na maunga yake yale yataka moto sanaKwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Yule ndoa ndio imemkataaKo anti ni kataaa ndoa
Watakula jeuri yao!. Over!ma feminist na secularists watakwambia huu ni unyanyasaji wa wanawake na kupitwa na wakati(ujima)
Pole sana mwanangu. Ila kama mumeo alikuwa wa dini yako, alichofanya kinaswihi na ndiyo kazi yake na hiyo ni ibada. Nakushauri uachane na huo uarabu urejee imani zetu za kiAfrika mwanangu. naomba nikushauri jambo. Tafadhali usiwadhalilisha mbuzi wetu bure. Kwani, wao ni mbuzi. Hawatawaliwi na sheria za hayawani waitiwao binadamu wanaojipenda na kujifisifu wakati hawana wanachowazidi wenzao wanyama wanaowaonea kama ulivyofanya.Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
Unknowing,uncook🤣🤣🤣🤣Ukiisikia ile interview mpaka unaboreka,fatuma anakera kuanzia mtazamo mpaka namna anavyoongea ni mtu asiye na ile ladha ya uswahili au uafrika kabisa.
Kwa aina ile ya mwanamke kama angekuwa na mume mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23],huyo jamaa alifaa aitwe bwana wa majeshi,asingekuwa mtu wa kawaida.
Kanaulizwa ulikuwa unapika kama mabinti wengine🤣🤣,enda sikia jibu.alikataaa kavu kavu NO,halafu ndio akaanza kujitetea kwamba sababu ya umri angeungua moto.
Huyu nina uhakika hata sasa kupika hajui.
Tena hizo sababu aziseme Shangazi mwenyewe aliyeyazua mitandaoni. Aseme kwamba Mumewe alianza "sarakasi" lini?. Baada ya nini?Tuanze sababu za uncle kwenda nje na kuamua kuzaa huko je ndani hamtoshelezi ? Anabaniwa sababu za modern aunt ? Zingatia anarusiwa kuwa nao hadi 4.....sasa Uncle ni Dr ....akutana nao kibwena....ukizingua anateua tu wagonjwa wake....awatibu uzuriii
Walau hii imekaa vemaUkisaliti ndoa haupewi 50% sheria inasema anaesababisha ndoa kuvunjwa anapokea asilimia 30 🤣🤣
Kuishi nyumba Moja na Shangazi inahitaji moyo!Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
View attachment 2866860
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao leo.
adrizHizi ndoa zinakuwaga tamu miaka miwili ya mwanzo baada ya hapo ni maigizo tu.
Sitasahau frying pan iliponikosa pajini ikabamiza ukuta hadi kuacha ufa.
Ingenipata maamae ningekuwa na a broken skull ama niko kwa Yesu huko nakula matunda.
hydroxo PSL god Mufti kuku The Infinity Chaliifrancisco mshamba_hachekwi min -me
N de A