Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

Bora shangazi kaweka wazi mana baadhi ya sisi wanawake huwa tunaitaka ile heshima tu huku yaliyomo humo ndoani ni mazito ambayo yanaeza epukika na maisha mengine yakaendelea fureshi kabisa.

#Mibadonimolakini. 😀
 
😀😀 Mkuu halafu ukiwa na mipango kabambe hata haitokeagi aisee.
 
Kwa mdomo ule, huyo jamaa alitakiwa arudi saa mbili asubuhi kabisa.
 
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na ufeministi nadhani wameshapata jibu lao
Unajua sababu ya mumewe kurudi alfajiri na kuzalisha nje ya ndoa Kama mbuzi?
Huenda alichoka kuishi na mwanamke jeuri na mwanaharakati hadi ndani ya ndoa.
Hiyo kauli ya shangazi ni one side story. Tungesikia na kwa mumewe.
 
Hako kajamaa hakakuwa Lofa, huyo shangazi kwa status yake hawezi attract mtu wa mentality kama zako.
 
kwa bahati naifahamu familia ya Karume na naifahamu familia ya mumewe ila kiukweli yule jamaa alimvumilia sana Fatma. Na hao watoto sio wa nje ni wa mke mwengine wa jamaa ambae alimuoa ili kuepuka balaa la huyu kichaa Fatma
Maana yake huo mume wake hana leadership skills… kuwa na mwananke maana yake ni usingizi, kuna kanuni wanaume na waifahamu , muoneshe mwanamke unamjali hata Kama huna kitu, hachomoki ngoo… mguu lazima atandaze hadi usiku wa manane…
 
Sijui kuhusu mume wake. Namkubali sana Fatma ila siwezi kuoa mke mwanasheria kama Fatma maana ataleta mambo ya sheria kwenye ndoa. Wanakuwa wasumbufu wale full kusomewa vifungu hata kwenye unyumba
Mimi namhitaji maana ni mwanasheria mwenzake, tutaburuzana Kwa vifungu, kanuni, rules and procedure na Mguu lazima atandaze hadi Kwa vifungu vya kisheria
 
🤣🤣🤣
 
Ndio maisha hayo..
 
🤣🤣🤣
Sijui kuhusu mume wake. Namkubali sana Fatma ila siwezi kuoa mke mwanasheria kama Fatma maana ataleta mambo ya sheria kwenye ndoa. Wanakuwa wasumbufu wale full kusomewa vifungu hata kwenye unyumba
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…