Wazanzibari wameunganishwa na urais wa Mzanzibari mwenzao, fatma sikudhani kama anaweza kuingia kwenye ujinga kama huuFatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Wazanzibari wameunganishwa na urais wa Mzanzibari mwenzao, fatma sikudhani kama anaweza kuingia kwenye ujinga kama huu
toa mafano wa mkataoliki....amabaye anaona ni vibaya mislam kua madarakani.....Narudia tena hii kauli yangu...
Mara nyingi Kiongozi wa Nchi akiwa Muislam huwa wakatoliki wanaleta Sana chokochoko..
Mimi sio Muislam ila hii trend nimeiona Sana ,Wakristo hasa Katoliki mna matatizo gani nyie?
Matokeo ya roho mbaya za choyo na ukatili za Wakristo waliowahi kuwa MaRais wote wamelala.
Kuna sehemu ameandika BAVICHABavicha karibuni kwa mjadala
Hahaha......eti kunya anye kuku!
.
Wapi amesema CHADEMA?Huyu mama anatia huruma saana. Ndio maana akiwatetea mashoga alisema eti mtu anaruhusiwa kuutumia mwili waka atakavyo. Kwake maadili au dini hazina nafasi. Halafu mtu unakuwa serious kusikiliza kiumbe kama Fatuma?
we ni CUF uliyeumizwa na ACT tunakujua.DJ aka Miwani Makengeza bin Mmbowe bwana ya Joyce
Mtambo wa mitusi unajulikanaKuna sehemu ameandika BAVICHA
itakuwa alishapuliza shisha kabla ya tweet hii....anasahau kua chimbuko la ubaguzi wa kidini ni ZanzibarFatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Hajawahi KU7 8⁸,2a,srFIKISHWA?,so,@zr@ez4⁵r5,azG@,56,2\○<,□<○☆,34, xX ⁷c3 3 sizesBado natafuta shangazi alipotaja CHADEMA, sijaona ila nahisi we happyxxx una chuki na CHADEMA, punguza nyege.
?A,- Hajawahi KU7 8⁸,2a,srFIKISHWA?,so,@zr@ez4⁵r5,azG@,56,2\○<,□<○☆,34, xX ⁷c3 3 sizes
jinsi Fatma anazungumza English kwa ile accent and choice of vocabularies huwezi kumtofautisha na wenye lugha yao.hii ina maana Fatma kwa nje ni mbongo ila ndani ni mzungu kabisa na ikimaanisha mila zote za kizungu km ushoga, uhuru wa kutoa maoni binafsi, uchaguzi huru na wa haki, kutumia logic sio kuropokaropoka nk ni sehemu ya akili yake .Huyu mama anatia huruma saana. Ndio maana akiwatetea mashoga alisema eti mtu anaruhusiwa kuutumia mwili waka atakavyo. Kwake maadili au dini hazina nafasi. Halafu mtu unakuwa serious kusikiliza kiumbe kama Fatuma?
Hapo ndio Fatma anapikosea step.Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Fuatilia handle hiyo yenye post utakubaliana na mtoa hoja alichokisema.Mkuu happyxxx , wapi kwenye hilo andiko la Fatma Karume alipoitaja CHADEMA? Hebu punguzeni kuingiza u-vyama katika kila jambo au kauli. Bure kabisa wewe!
Fatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.
Amewaita ni wanafki kwa kupongeza Mbowe akikutana na Rais ila kuwashambulia watu Wengine wakikutana na rais au viongozi wa serikali.
Shangazi Fatma ameenda mbali zaidi kuhusisha Chadema na udini na ukabila kuwa ndio misingi ya Chadema.
View attachment 2246863
Nadhani alienda kusoma UK akiwa bado mdogo. Hata English yake ni Posh English kwa mbali. Inaoneka UK alikulia kwenye mitaa ya matajiri na wasomi!!jinsi Fatma anazungumza English kwa ile accent and choice of vocabularies huwezi kumtofautisha na wenye lugha yao.hii ina maana Fatma kwa nje ni mbongo ila ndani ni mzungu kabisa na ikimaanisha mila zote za kizungu km ushoga, uhuru wa kutoa maoni binafsi, uchaguzi huru na wa haki, kutumia logic sio kuropokaropoka nk ni sehemu ya akili yake .
nina uhakika Fatma ukipewa moyo wake uangalie utashangaa sana kuona jinsi anawadharau watu wajinga na maskini because she has inside a mzungu culture and mindset
Fatma is smart and confused by living in the wrong world! Fatma anatamani sote bongo tuwe na akili na maisha kama wazungu kama yeye, anatamani tumuelewe ila we don't have that capacity coz watu wengi anaobishana nao darasa la saba au wenye digrii za kukariri !!
Pohamba, umeongea point kwenye hiyo paragraph ya mwisho! Kwa mfano kuna mtu anaitwa Kamanda Asiyechoka, ana nembo ya Chadema kwenye Avitar yake, lakini ni UVCCM.Moja ya makosa makubwa Chadema wanafanya ni kuruhusu lila mtu kuwa Msemaji wa Chadema kwny Mitandao
Freeman Mbowe kishaliona hilo na kulikemea hadharani lakin hawasikii la muadhini wala la mnadi sala
inawezekana pia hii inafanywa na watu maalum kwa lengo maalum la kuibrabd Chadema kuwa chama cha wanaharakati wasio na muelekeo wala heshma ya uhuru kwa wengine
Lazima kieleweke nchi iliojaa raia ambao unafki unatukana unafiki mwingine hahaha tz the royo tua nchi iliojaa watu wanaojua kusoma na kuandika tu do very sadFatma Karume ametumia mtandao wa Twitter kuwashambulia wafuasi wa Chadema wanaomporomoshea matusi kwa sababu ya yeye kuonekana kumuunga mkono Rais Samia.