Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

Fatma Karume: Bandari haijauzwa, hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai, acheni ubaguzi ni ushamba

Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume

"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni UBAGUZI Jamani. Ni USHAMBA tu."

Kwa maoni yangu: Hakuna tatizo kufanya biashara na Dubai lakini TERMS za MKATABA lazima ziwe FAIR.Hatuwezi kuwapa “sovereignty” yetu.

Pia Fatma ameandika

"Hakuna aliyeuza BANDARI la Dar.Hoja ni MKATABA wa Kimataifa baina ya Dubai na Tanzania na vipengele vichache vinavyoathiri “sovereignty” yetu.WAPUMBAVU ndie wanaleta ujinga wa*Rais ni KE. WaTZ hawatomuamini rais KE tena.*Rais ni MZNZ anauza mali ya TNG*Uarabu".
View attachment 2653915








Bandari la au bandari ya au libandari la?
 
Kwa hiyo AG ndio anaangushiwa jumba bovu. Bunge limepitisha Azimio baadaye ni bunge ambalo wabunge wengi na Spika ni Watanganyika ndio waliruhusu na kuridhia huu mkataba. Kazi iko.

Attorney General Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi anayeongoza Ofisi iliyosheheni wasomi kibao kuandaa mikataba na kuishauri taasisi ya urais
Biografia:
Judge Dr. Eliezer Mbuki Feleshi acquired his Bachelor of Laws (LLB)(Hons)at the University of Dar es Salaam from the year 1991 to 1994. He later completed his Master of Law (LLM)at the University of Dar es Salaam, in 2005 majoring in Criminal Law, Criminal Procedure and Criminology and Penology. In 2011 he was awarded a PhD (Law) in Criminology and Penology at the University of Dar es Salaam..... READ MORE : https://www.agctz.go.tz/administration/members/attorney-general
 
Huyu mbaguzi namba moja
Just let you know ‘ Tanganyika ndio tunahitaji’
Yah likija suala la uzanzibari anakuwa biased hapo hawezi seema ukweli kisa raisi na waziri wote wazenj na kampuni ni ya waarab na yeye najiona mwarabu. Ila hapa issue sio kampuni kuwa ya waarab, ni terms zinazotumika kuingia mikataba kama zina faida kwa nchi na hilo hawezi lizungumzia na kama akilizungumzia atafumba macho kwenye ubaya
 
ipo wazi mzanzibar yoyote anamuona mwalabu WA thamani kuliko mTannganyika kiufupi nyerere alituingiza chaka
Nyerere hakutuingiza Chaka ,yeye alifanya Kwa uwezo wake mpaka alipoishia,alidhani kuwa Watanganyika tuko smart kuliko machotara wazanzibar,kumbe ni tofauti kabisa,Watanganyika hatujiamini Tena,tunamuona mzanzibar kama mwarabumwerevu kabisa,Mwanachi wa Zanzibar ni mwarabu Kwa damu kabisa!Historia ya bwagaMoyo haikukomeshwa sawasawa naona Sasa inaanza kujirudia,TISS hawana mipango madhubuti ya kuwafanya Hawa waarabu Koko Zanzibar kupotea kabisa.(wao ndo wanatutokomeza mdogomdogo).
IPO SIKU TANGANYIKA ITASIMAMA TENA.
 
Wao ni wazanzibar daima dumu
Wao wanajiita wazanzibar
Wana serikali yao
Wana nchi yao
Wana kila kitu chao
Wana vitambulisho vyao
Wanajitambulisha kama wazanzibar kokote duniani
Ni wakati kula RASILIMALI ZA TANGANYIKA PEKEE NDIO WANAJIITA WATANZANIA WAKISHIBA wanaendelea kujitambulisha kama Wazanzibar
 
Wao ni wazanzibar daima dumu
Wao wanajiita wazanzibar
Wana serikali yao
Wana nchi yao
Wana kila kitu chao
Wana vitambulisho vyao
Wanajitambulisha kama wazanzibar kokote duniani
Ni wakati kula RASILIMALI ZA TANGANYIKA PEKEE NDIO WANAJIITA WATANZANIA WAKISHIBA wanaendelea kujitambulisha kama Wazanzibar
Aisee!
 
Back
Top Bottom