#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri. Hivyo, ni vema arekebishe kauli au aifute kabisa.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi na akumbuke watanzania wameshatishwa sana kuhusu hizi chanjo enzi za Mwendazake.
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Kwenye kutoa maoni hakuna right or wrong - kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ni kama A kusema kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio kwa sababu kama una mgonjwa unaweza kumbeba na kumpeleka hospitali na B akasema ni bora kuwa na radio kwa sababu unapata habari ambazo zinaweza kukusaidia hata kujua baiskeli zinauzwa wapi na ni bei gani.
 
Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.

Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.

Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.

Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.

Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.

Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe yupo sahii sana.

Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar.

Watanzania wote tupewe chanjo ili kudhibiti maambukizi.

M/Mungu akuweke Abubakar Mbowe.
 
Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.

Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo....
Mwendawazimu ni wewe. Kwani nani ambae hajawahi kufiwa? Kila mtu aliefiwa ni corona? Au huyo Shangazi yako ndo wa kwanza kufa kwenye familia yenu mpaka ulalamike?

Watu wamechomwa hizo chanjo na bado wamepata maambukizi hujiulizi? Marekani wamewachanja watu wao na bado maambukizi yameongezeka. Mwendawazimu mkubwa weee?
 
Mbowe yupo sahii sana.
Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar...
Zikiletwa nenda kachanjwe wewe na ukoo wako wote, wengine tuache. Huko Uganda na Kenya wengi wa waliochanjwa wameshaanza kuonja joto ya jiwe ya side effects za chanjo.

Na wengi wameshazikwa na serikali zao zipo kimya. Ila Raisi Samia ana taarifa zote ndo maana anasuasua kuleta hizo chanjo.
 
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Mnara wa babeli umeanza kuporomoka

Kila MTU ataongea lugha yake
 
Back
Top Bottom