Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa umeanza tartiiibu kumpindua mwenye kitiNarudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Na mimi nakuunga mkono yey na Mbowe wake ndio wendawazimu, hawa akina Mbowe walishachanjwa siku nyingi na wanaondoka.Mwendawazimu ni wewe. Kwani nani ambae hajawahi kufiwa? Kila mtu aliefiwa ni corona? Au huyo Shangazi yako ndo wa kwanza kufa kwenye familia yenu mpaka ulalamike? Watu wamechomwa hizo chanjo na bado wamepata maambukizi hujiulizi? Marekani wamewachanja watu wao na bado maambukizi yameongezeka. Mwendawazimu mkubwa weee?
Mbowe hana uwezo wa kulazimisha chochote nchini; hawezi kuwa dikteta; sio kiongozi wa nchi. Katoa tu maoni yake kuhusu chanjo ya Covid-19. No need to overrate him.Uthibitisho mwingine wa udikteta wa Mbowe na kutokujali kwake haki za binadamu.
Vumilia mkuu sina huruma na KICHAA yule napiga mpaka mpaka na mavi yake.Mwendawazimu ni wewe. Kwani nani ambae hajawahi kufiwa? Kila mtu aliefiwa ni corona? Au huyo Shangazi yako ndo wa kwanza kufa kwenye familia yenu mpaka ulalamike? Watu wamechomwa hizo chanjo na bado wamepata maambukizi hujiulizi? Marekani wamewachanja watu wao na bado maambukizi yameongezeka. Mwendawazimu mkubwa weee?
Mbowe ni jiwe mbadala.......Fatma kama msemaji wa serikali vile..
Halafu Mbowe kama jiwe
Dah ..mambo yanabadilika so fast
Ni maoni yake katika kuyakabili maambukizi ili maisha yaendelee.Uthibitisho mwingine wa udikteta wa Mbowe na kutokujali kwake haki za binadamu.
Maoni ya Mbowe hayawezi kuwa Sheria, Ameshauri tu kama chanjo itapatikana, tuchanjwe kudhibiti maambukizi ili maisha yaendelee. Acheni Nongwa.Mbowe ni jiwe mbadala.......
hii kitu nawaambia kila siku watu hawanielewi
Mijitu humu inamabichwa lakini haina akili.Ikishafikia hatua kutokuchanja kwako kunahatarisha maisha ya wengine basi hakuna jinsi inabidi uchanjwe kwa lazima
Hivyo ndivyo kwa chanjo zote ambazo zinalenga kuondoa magonjwa yote hatari kwa halaiki , ndiyo maana Mgambo hupelekwa vijijini kusimamia uchanjaji
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Haa just haa.. nimecheka sana mkuu..Wale waliopigia kampeni nyungu mpaka lile jinamizi likafa wanamzidi nini Mbowe ?
Huo ushauri ni wa kijinga.Mijitu humu inamabichwa lakini haina akili.
Mbowe ameshauli ili kudhibiti maambukizi na maisha yaendelee. Kama chanjo ipo , tuchanjwe tu wote.
Hakikisha unaipata kwanza. Acha kubweka mitandaoniMbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena
Ni hivi Mbowe anaongea akitambua kiwango cha upotoshaji kilichofanyika tayari kwa watu very ignorant.Vipi kwenye kudhiti maambuzi. Mbowe anaposema iwe lazima anaamanisha , tuchanjwe tudhibiti maambukizi ili maisha yaendelelee.
Kama chanjo itapatikana
Mwenye masikio na asikie. Asante mkuu, umefunga mjadala.Kisheria statement hii iko sawa. Yaani kinadharia statement hiyo iko sahihi.
Lakini ki afya, kitalaamu na kiserikali (yaani kiutekelezaji) ni lazima watu wengi kwa kadri iwezekanavyo na ikibidi wote wachanjwe. Vinginevyo chanjo (kitalaamu) haitakuwa na maana.
Hiki ndicho Mwamba Mbowe bila shaka alikuwa akikimaanisha.
Kuhakikisha chanjo ni hiari kinadharia lakini si hiari kiuhalisia ulazima hauko kwenye kulazimishana na fimbo au mabunduki kwenda kuchanjwa. Ulazima unakuja hivi:
1. Kusafiri onyesha proof ya chanjo
2. Kusajiliwa mahali onyesha proof ya chanjo
3. Kuingia mahali onyesha proof ya chanjo
4. Nk nk.
Hapo ndipo mzizi wa fitna ulipo.
Utajikuta mwenyewe kwenye fix tu, kama kwenye barakoa ulivyokuwa ambazo pia ni hiari.
Leo hii ofisi, hospitali au sehemu gani serious utaingia bila barakoa? Ndiyo shuruti zenyewe hizo. Hutaki usiingie maana kuingia si lazima pia.
Mwamba Mbowe yuko vizuri kwani kitalaamu njia zote ni lazima zitumike kuwataka watu kuchanjwa kwa hiari ikibidi kwa mjeledi (in the extreme) kwani ni kwa faida yao.
Hata hapa serikali itafuata utaratibu huo huo. Mbowe ni wa kupongezwa kwa kuwa muwazi. Chanjo ni kwa faida yetu.
Cc: denooJ BAK Salary Slip technically
Nchi iliongozwa na Mwendawazimu hii, vipi ulipungukiwa na kitu. Au una chuki zako na Mbowe.Si bure huenda Mbowe anamatatizo ya kiakili.