#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Mbowe yupo sahii sana.
Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar.
Watanzania wote tupewe chanjo ili kudhibiti maambukizi.
M/Mungu akuweke Abubakar Mbowe.
Stupidest post of the year
 
Zikiletwa nenda kachanjwe wewe na ukoo wako wote, wengine tuache. Huko Uganda na Kenya wengi wa waliochanjwa wameshaanza kuonja joto ya jiwe ya side effects za chanjo. Na wengi wameshazikwa na serikali zao zipo kimya. Ila Raisi Samia ana taarifa zote ndo maana anasuasua kuleta hizo chanjo.
Pale mpumbavu unapojitia kujua mambo wakati ni zumbukuku tu. tulia uchanjwe usisambaze maambukizi kwa ujinga ulionao. Mimi naitaka chanjo.
 
Mwendawazimu ni wewe. Kwani nani ambae hajawahi kufiwa? Kila mtu aliefiwa ni corona? Au huyo Shangazi yako ndo wa kwanza kufa kwenye familia yenu mpaka ulalamike? Watu wamechomwa hizo chanjo na bado wamepata maambukizi hujiulizi? Marekani wamewachanja watu wao na bado maambukizi yameongezeka. Mwendawazimu mkubwa weee?
Huyo Trillion na Mbowe wanaongea wakiwa wamejawa na msongo wa mawazo.

Kuna tamasha likiandaliwa ulaya huku mashariti ya kupata kibali cha tamasha kila muuhudhuriaji alete ushahidi wa kuwa kapata chanjo ya COVID-19 kilichotokea bado mjadala duniani.

Kulitokea mamia kama si maelfu ya maambukizi kwa wahudhuriaji wa tamasha.

Nitaweka ushahidi wa link ikinilazimu.

Hizi chanjo hazina ufanisi mkubwa na hazifanyi kazi kwa wote kwa variant zote za Corona virus.
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe yupo kwenye payroll ya Astrazeneca...
Ni wakala wao na tayari amepewa chanjo yake ya kuonja!
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Hayo ni maoni yake kakosea dhidi ya standard ipi ?
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.

Mkuu heshima kwako.

Ulazima hauko kwenye kulazimishana kwenda kuchanjwa.

Ulazima utakuja hivi:

1. Kusafiri onyesha proof ya chanjo
2. Kusajiliwa mahali onyesha proof ya chanjo
3. Kuingia hapa onyesha proof ya chanjo
4. Nk nk.

Hapo ndipo mzizi wa fitna ulipo.

Utajikuta mwenyewe kwenye fix tu, kama kwenye barakoa ambazo pia ni hiari.
 
Siasa mpaka masuala ya AFYA ?!!! khaaa 😲🤣

Mbona watoto wetu tunawachoma kwa lazima na hatusubiri CONSENT zao wafike miaka 18?!!!!

Napendekeza ,Chanjo iwe ni lazima kwa WATUMISHI WA AFYA....WAFANYAO KAZI KATIKA VITUO VYA AFYA....wakianzia getini(ulinzi) mpaka WAPISHI WA VITUO VYA AFYA-HOSPITALI!!

#KaziIendelee
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe alishachanjwa siku nyingi huko ughaibuni na amebaini kuwa hiyo chanjo ni kifo cha kujitakia na sasa anataka sote tufe,kaka alichanja na kaondoka,huko kwa watengeneza dawa kwenyewe watu hawalazimishwi sembuse sisi.

Yeye anaishi Dubai kwa hiyo lazima achanjwe sasa mimi wa Mparange Buza chanjo ya nini kwani hata Kibaha siijui na kama kufa siku yangu ikifika nitakufa tu na si kwa kukosa chanjo la hasha bali siku zangu zitakuwa zimefika. Kwa hili Salary Slip umeonyesha kutokuwa mnafiki.
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Unakubaliana na JPM na unatofautiana na Mwenyekiti wa Maisha. Safi sana, bado kina Chakaza na wenzake
 
Mkuu heshima kwako.

Ulazima hauko kwenye kulazimishana kwenda kuchanjwa...
Vipi kwenye kudhiti maambuzi. Mbowe anaposema iwe lazima anaamanisha , tuchanjwe tudhibiti maambukizi ili maisha yaendelelee.
Kama chanjo itapatikana
 
Back
Top Bottom