#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mdogomdogo tutaelewana tu.
FB_IMG_1626726002847.jpg
 
Huo ushauri ni wa kijinga.

Kwa sababu maadili ya kitabibu yanakataza kulazimisha watu kuchanjwa.

Kuchanja ni jambo la hiyari.

Hiki ni suala ya maadili ya kitabibu yanayokubalika karibu dunia nzima.

Pia, si kila mtu anafikia vigezo vya kuchanja.
Nawambia kama chanjo itakuja yakutosha bi, Chokochoko atawachanja kibabe, mtake msitake. Lazima tudhibiti maambukizi ili maisha yaendelee .
 
Huo ushauri ni wa kijinga.

Kwa sababu maadili ya kitabibu yanakataza kulazimisha watu kuchanjwa.

Kuchanja ni jambo la hiyari.

Pia, si kila mtu anafikia vigezo vya kuchanja.

Hiki ni suala ya maadili ya kitabibu yanayokubalika karibu dunia nzima.

Mbowe ana hoja.

1. Ikumbukwe huku takwimu za Corona hazijatolewa na serikali tangia Apr 2020.
2. Katika kipindi hicho watu wameaminishwa Corona haipo.
3. Wakaaminishwa chanjo ni kuwauwa wao kama watanzania.
4. Upotoshwaji huo umejengwa vilivyo kwenye wengi ambao ni very ignorant.

Logically chanjo haina maana kama idadi ya kutosha ya walio tayari kuchanjwa haitapatikana.

Kuwapata wa kutosha njia zote zitabidi kutumika. Zikiwamo elimu, ushawishi na hata mjeledi ikibidi.

Ng'ombe asiyetaka kurejea zizini kuliko salama ni sahihi kumweka bakora.

Welcome to Africa, where as a nation we have managed to kick out Corona in 3 days of prayers, chaired by our president his excellency mwendazake.
 
Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.

Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.

Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.

Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.

Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.

Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.
Unataka chanjo wewe na nani? Peleka huo ukabwela wako, mbowe akikujali wewe na baadhi ya Ufipa wenzako inatosha.
 
Mbowe yupo sahii sana.
Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar.
Watanzania wote tupewe chanjo ili kudhibiti maambukizi.
M/Mungu akuweke Abubakar Mbowe.
Eti mapenzi ya Mbowe kwa watanzania[emoji23].
 
Binafsi nampenda na kumkubali sana huyu kaka mkubwa... Ila kwa hii proposal ya kulazimisha tudungwe madawa ambayo hata serikali yenyewe haina uhakika nayo (to the extent wanajitoa lawamani kwa lolote litalotokea) sikubaliani naye kabsaaaaa.

Approach ya kuacha uhuru wa kudungwa ni sahihi kwani mpaka sasa tumegawanyika katika makundi makubwa matatu.
1. Wanaotaka kudungwa.
2. Wasiotaka (nikiwemo mimi)
3. Wenye wasio na maamuzi bado

No kazi ya kila kundi kushawishi kundi lingine bila kushurutishana bhana.
 
Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Wengine wanasikilizia. Tusije chanjwa halafu mji mzima tunakuwa wanaume suruali
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.

Itakuwa kavuta mpunga toka kwa mabeberu aje aipigie promo chanjo...

Au vilevile huenda ni mambo ya kisiasa, kutafutwa kuungwa mkono anti-JPM's
 
Vipi kuhusu surua polio pepopunda hepatitis kwa watoto au watoto sio binadamu .... unaletaje kitu ya garamankubwa hivyo halafu iwe ya hiari huku watu wanaendelea kuambukizwa na kufa...
 
Mbowe,wewe ni kiongozi mkubwa kwa jamii ya watanzania.Unapaswa kuona mambo kwa mbali. Unapaswa kuwaza beyond your emotions.
Najua umejeruhiwa na mengi.Umezika ndugu zako wengi kwa corona.Unashuhudia "nyumbani" kilimanjaro ugonjwa huu ukiwa umeathiri na umegeuka tishio kubwa.Nadhani hili limekupa mtazamo na hisia ulizoonyesha hadi ukatoa kauli hii.
Hata hivyo waza beyond your emotions.You are a leader.Take your time kuijua hii ishu kwa undani.Zimepita chanjo nyingi,dawa nyingi,wazungu wamefanya mengi..jiulize kwanini hili la corona lina maswali mengi?!Take your time bro.Pole sana kwa matatizo.I understand your situation at personal level.
 
Mijitu humu inamabichwa lakini haina akili.
Mbowe ameshauli ili kudhibiti maambukizi na maisha yaendelee. Kama chanjo ipo , tuchanjwe tu wote.
Chanjo ambayo after 2 years mnaanza kufa kiajabu ajabu
 
Mbowe ana hoja.

1. Ikumbukwe huku takwimu za Corona hazijatolewa na serikali tangia Apr 2020.
2. Katika kipindi hicho watu wameaminishwa Corona haipo.
3. Wakaaminishwa chanjo ni kuwauwa wao kama watanzania.
4. Upotoshwaji huo umejengwa vilivyo kwenye wengi ambao ni very ignorant.

Logically chanjo haina maana kama idadi ya kutosha ya walio tayari kuchanjwa haitapatikana.

Kuwapata wa kutosha njia zote zitabidi kutumika. Zikiwamo elimu, ushawishi na hata mjeledi ikibidi.

Ng'ombe asiyetaka kurejea zizini kuliko salama ni sahihi kumweka bakora.

Welcome to Africa, where as a nation we have managed to kick out Corona in 3 days of prayers, chaired by our president his excellency mwendazake.
Hiki kitu ni hadithi za kijinga.

Kwa sababu kwanza nchi haina chanjo za kutosha kuchanja watu wote ambao wanataka kupata chanjo.

Sasa unaanzaje kuongea habari za kulazimisha watu kuchanja wakati watu wanaotaka kuchanja hujaweza kuwatimizia haja yao?
 
"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume
Jibu sahihi kwa mjinga Mbowe (TONDO)
 
Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Sayansi ya chanjo ndio itafanya hata wewe uchanjwe😅, vikwazo tu vya kusafiri, baadhi ya kazi etc.
 
Mbowe,wewe ni kiongozi mkubwa kwa jamii ya watanzania.Unapaswa kuona mambo kwa mbali. Unapaswa kuwaza beyond your emotions.
Najua umejeruhiwa na mengi.Umezika ndugu zako wengi kwa corona.Unashuhudia "nyumbani" kilimanjaro ugonjwa huu ukiwa umeathiri na umegeuka tishio kubwa.Nadhani hili limekupa mtazamo na hisia ulizoonyesha hadi ukatoa kauli hii.
Hata hivyo waza beyond your emotions.You are a leader.Take your time kuijua hii ishu kwa undani.Zimepita chanjo nyingi,dawa nyingi,wazungu wamefanya mengi..jiulize kwanini hili la corona lina maswali mengi?!Take your time bro.Pole sana kwa matatizo.I understand your situation at personal level.

Matatizo yake bunafsi anataka kulazimisha kuwa ni matatizo ya watanzania
 
Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Mkicheza na mjinga atawalambisha kinyesi huyo ndio Mbowe aka TONDO
 
Back
Top Bottom