#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.

Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.

Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.

Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.

Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.

Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.

Pole kwa kumwamini TONDO mbowe
 
Chadema na mbowe wote ni wapumbavu, wewe kama unataka chanjo bc tuliza hilo wezere subiri hy chanjo na sio kusema ni lazima.
Mpumbavu ni wewe na wapumbavu wenzako mlioshindwa kutafuta sources za income mnaleta mambo ya kifirauni. Wewe sio Mbaga lazima utakua wa ujombani, oumbsvu kabisa
 
Zikiletwa nenda kachanjwe wewe na ukoo wako wote, wengine tuache. Huko Uganda na Kenya wengi wa waliochanjwa wameshaanza kuonja joto ya jiwe ya side effects za chanjo. Na wengi wameshazikwa na serikali zao zipo kimya. Ila Raisi Samia ana taarifa zote ndo maana anasuasua kuleta hizo chanjo.
Acha uongo, mimi nimechanja na ninadunda tu! Kama wewe hutaki chanjo its ok, ila siyo kupotosha watu! Hizo habari za Uganda na Kenya wewe umezipata wapi? Acha upotoshaji mkuu
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Hata Mimi nampinga mbowe kuhusu hili la chanjo.

Wale pro CCM si mnaona watu tunapingana na chairman wa chadema

Hatujashikiwa akili sisi

Mbowe kateleza kuhusu Hilo la chanjo ajitafakari
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe naye aache mihemko ya kipumbavu! Watu tulikuwa tunamwona genius kumbe naye hopeless tu wala hana tofauti na Ndugai. Ina maana CHADEMA wangeshinda uchaguzi angetulazimisha kuchoma chanjo? Kajiharibia sana na tunamwona jinsi gani alivyo dikteta!
 
Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Laiti mngeijua Corona inavyotesa
 
Mbowe naye aache mihemko ya kipumbavu! Watu tulikuwa tunamwona genius kumbe naye hopeless tu wala hana tofauti na Ndugai. Ina maana CHADEMA wangeshinda uchaguzi angetulazimisha kuchoma chanjo? Kajiharibia sana na tunamwona jinsi gani alivyo dikteta!
Mbowe anajali afya za watanzania na anajua Ni jinsi gani Corona inavyotesa, tatizo Magufuli ameharibu akili zenu
 
Kinachomsumbua Mbowe ni ukosefu wa shule kichwani mwake.
 
Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.

Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo.

Mbowe ameshuhudia mtoto wake akiuguua COVID-19 kwa mda mrefu, na Bashite akifanya sherehe mtoto wa Mbowe kupata Corona.

Mbowe yupo kwenye msiba wa kaka yake kipenzi kwa kifo cha Corona.

Wakati nazika shangazi yangu kwa Corona alienilea na kunisomesha, mwendawazimu alikua anaingia makanisani na kusema uwongo kuwa Corona hamna, nimeumia sana.

Watanzania wapewe chanjo kuyakabili maambukizi.
Akiijali familia yake inatosha.
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
brazaj hata wewe!
 
Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Wakati anasubiria jibu lake akawachanje kwana wanaye asisubiri order ya Rais. Ila sisi wengine hatutaki chanjo.
 
Tatizo la Mbowe ni mbumbumbu na kutokwenda shule
Tatizo lako Shonza ni kupita na waume za waume, afu ujue mwigulu kaoa, na ana bahati mbaya ya kufumaniwa kama mwenzake chawene, wote hawa walifumaniwa singida kwa nyakati tofauti, we endelea nae tu mkewe akikukamata
 
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.

Ni vema arekebishe kauli au aifute.

Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Ni lazima ndio mbona ya ndui na polio ni lazima
 
Hiki kitu ni hadithi za kijinga.

Kwa sababu kwanza nchi haina chanjo za kutosha kuchanja watu wote ambao wanatqka kupata chanjo.

Sasa unaanzaje kuongea habari za kulazimisha watu kuchanja wakati watu wanaotaka kuchanja hujaweza kuwatimizia haja yao?

Si tu kuwa haipo ya kutosha bali chanjo yenyewe haipo na uwezekano wa kupatikana kwake labda ni hadi Desemba.

Ukirejea kwenye ujinga uliopo, bila jitihada ya kutosha kwa kiwango cha ujinga uliopo hata hiyo kidogo inayoweza kupatikana kwa hali iliyopo inaweza kuwa nyingi mno na hata kubaki kwa kukosa wachanjwaji.

Hapo ndipo uyaone maajabu ya mtu kumwuuma mbwa!
 
Kwenye kutoa maoni hakuna right or wrong - kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ni kama A kusema kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio kwa sababu kama una mgonjwa unaweza kumbeba na kumpeleka hospitali na B akasema ni bora kuwa na radio kwa sababu unapata habari ambazo zinaweza kukusaidia hata kujua baiskeli zinauzwa wapi na ni bei gani.
Lakini isiwe lazima,
Kuwa na baiskeli au radio ni hiyali
Pia kuchanja au kutochanja iwe ni hiyali
 
Ikishafikia hatua kutokuchanja kwako kunahatarisha maisha ya wengine basi hakuna jinsi inabidi uchanjwe kwa lazima
Hivyo ndivyo kwa chanjo zote ambazo zinalenga kuondoa magonjwa yote hatari kwa halaiki , ndiyo maana Mgambo hupelekwa vijijini kusimamia uchanjaji
Ukianza kuwa msukule wa mtu, hata uwezo wako wa kufikiri inabidi umkabidhi.

Mbowe ni mpumbavu kama walivyo wapumbavu wengine.
 
Ukianza kuwa msukule wa mtu, hata uwezo wako wa kufikiri inabidi umkabidhi.

Mbowe ni mpumbavu kama walivyo wapumbavu wengine.
Siyo usukule, ni common sense tu

Nchi ikifikia point tuko hatarini hadi kwenye stage ya survival, watu watalazimishwa tu wachanjwe watake wasitake. Siombei tufike huko!
 
look at data from VAERS USA,!9000+ vaccine related deaths.. alafu kuna watu humu wanasema kwasababu chanjo haijawaathiri basi na wengine haitawaathiri,this is a non-sensical argument..
 
Back
Top Bottom