Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwa mara ya Kwanza Leo umekuwa tofauti na mwamba, duh? Dunia inaenda haraka sanaNarudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Kwenye kutoa maoni hakuna right or wrong - kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ni kama A kusema kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio kwa sababu kama una mgonjwa unaweza kumbeba na kumpeleka hospitali na B akasema ni bora kuwa na radio kwa sababu unapata habari ambazo zinaweza kukusaidia hata kujua baiskeli zinauzwa wapi na ni bei gani.Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.Kiukweli Freeman Mbowe amechemka sana ktk hili; nashauri arudi kuomboleza msiba wa kaka yake. Chanjo ya corona haiwez kuwa jambo la lazima. Anayetaka achanje asiyetaja asichanje
Nyie ndio wa kuunga mkono kila kitukinachofanywa na viongozi wenu sio sisi.Kwa mara ya Kwanza Leo umekuwa tofauti na mwamba, duh? Dunia inaenda haraka sana
Hukuwahi kupinga chchte cha mwamba, hata Enzi za Faru John.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Ila wewe huwa ni zaidi ya kila mtu humu mkuu.Nyie ndio wa kuunga mkono kila kitukinachofanywa na viongozi wenu sio sisi.
Uchungu wa kufiwa..... Wengi hawataweza kumuelewa.Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Mbowe yupo sahii sana.Narudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Na mwigulu mwenye PhD tumwiteje mkuuTatizo la Mbowe ni mbumbumbu na kutokwenda shule
Mwendawazimu ni wewe. Kwani nani ambae hajawahi kufiwa? Kila mtu aliefiwa ni corona? Au huyo Shangazi yako ndo wa kwanza kufa kwenye familia yenu mpaka ulalamike?Mbowe anatujari sana watanzania anajua tutateketea tusipopewa Chanjo.
MaCCM si wakuwaamini tena.
Mbowe yupo sahii #TunatakaChanjo....
Hapa umepona unyumbu sasaNarudia, katika hili, Mbowe kakosea sana na sijui nani kamshauri.
Ni vema arekebishe kauli au aifute.
Hizi chanjo bado zina utata mwingi hivyo si busara kuja na hiyo kauli unless kuna ambazo zineshathibitishwa kuwa hazina madhara kwa walio wengi.
Zikiletwa nenda kachanjwe wewe na ukoo wako wote, wengine tuache. Huko Uganda na Kenya wengi wa waliochanjwa wameshaanza kuonja joto ya jiwe ya side effects za chanjo.Mbowe yupo sahii sana.
Mapenzi ya Mbowe kwa Watanzania ni makubwa mno, ndio maana wazanzibari wakamfananisha na swahaba wa mtume, Abubakar...
Mnara wa babeli umeanza kuporomoka"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume