#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Unajuaje kuwa vifo ni vichache wakina hamna takwimu? Watanzania wengi hawafii hospitali, kitu ambacho kwa vyovyote hakitakuwa reflected kwenye takwimu. Watu wanakufa wakutosha tuu.

Amandla...
Kwanza kuna tofauti kati ya kusema kungekuwa na vifo vingi sana na kusema kuna vifo vichache.

You are making a logical non sequitur.

Pili, naongelea vifo vinavyoripotiwa na jamii, vinavyoonekana katika familia.

Biut let's say vifo ni vingi.

Mimi siku zote nimekuwa nasema serikali iweke data wazi.

Na badala ya kusema watu ni lazima wachanjwe, watu wapewe data za vifo waone ukubwa wa tatizo, waoneshwe chanjo zinavyozuia vifo, waachiwe wajiongeze wenyewe kwa kuangalia vifo na kuamua wenyewe wapate chanjo.

Ukianza kulazimisha chanjo unaonesha umeshindwa kujenga ushawishi kwa hoja.
 
Uliwahi kusikia wapi mtu anaacha kumzika ndugu yake wa damu na mila za kichaga zilivyo ngumu anakimbilia mkoa mwingine kuhamasisha vurugu akawa na akili timamu?
 
Vifo vya watu wa familia, vifo vya watu maarufu, taarifa za kuhitajika oxygen Mwanza Bugando na KCMC.

Kwa nini serikali haitoi data?
Ukome! Usiwapangie! Kwani data zitakusaidia nini mtu binafsi? Waambie mabeberu waliokutuma kuwa hawawezi kutupangia!!
 
Mbowe ana hofu! Anataka kuriwadhika na "kifo cha wengi harusi"! Yeye alishaingizwa chaka akachanjwa"! Na madhara yanaripotiwa kila siku! Anaona asiangamie peke yake!! Nakupa pole "mwamba wa karatasi"
Mkuu,

Ili nijue kwamba wewe si troll wa kumu abuse tu Mbowe, kuna kitu chochote ambacho kashawahi kufanya ukakisifia?
 
Chanjo za lazima zipo, kwa maana ya "obligatory" au "mandatory". Mfano: huwezi kukubaliwa visa ya Uhamiaji Marekani kama hujapata chanjo wanazozitaka Wamarekani, kwa Daktari/Clinic waliyochagua wao na kwa gharama zao. Angeanza na kupinga huu utaratibu na hoja zake za kisen.ge tuone kama ingesaidia.
 
Mukulu kiranga Kama kawaida yako, ubishi ndani ya damu.
 
Uganda wamepata chanjo lakini Ugonjwa bado unawasumbua kwa variant nyingine na now wako lockdown. Huoni kama hizi chanjo bado ziko kwenye majaribio na usalama wake haujulikani .
 
Ni yale yale. Vyote vinahusu personal freedoms za kuingiza kitu mwilini, kiwe pombe au chanjo.

Wewe ndio unachanganya vitu. Rate ya vifo Marekani kwa wale ambao wamechanjwa inachangiwa na idadi kubwa ya watu waliochanja na kuwa mara nyingi hawa wanaishi katika majimbo ambayo zaidi ya asilimia 60 wamechanjwa. Sisi kwetu ambapo pengine mtu mmoja aliyechanjwa atazungukwa na zaidi ya mia wasiochanjwa probality ya yeye kuambukizwa inakuwa kubwa.

Inatisha kusema kuwa the vast majority wa watanzania ambao kutokana na ignorance iliyo kubuhu waachiwe wafe kwa sababu wamejitakia wenyewe! Hamna katika hawa atakaekufa mwenyewe maana ataondoka na wale ambao pengine wangependa kuchanja lakini kutokana na chanjo kufanywa vieiti hawakuweza kuchanjwa.

Ni kweli kuwa uwezo wa kuwachanja watanzania wote kwa mara moja hatuna lakini angalau tuanze na yale maeneo yalioathirika zaidi, tukijua taratibu tutawafikia wote. Na watu wakijua kuwa nao wamo katika mpango utawapa matumaini kuliko kusema ni wale tu wanaoweza kwenda Aga Khan ndio watakaochanjwa.

Huko kuelimishwa unakozungumzia kutaendana na chanjo. Ni yale yale ya kutafuna big G wakati unatembea.

Huu ugonjwa si wa kuufanyia masihara.

Amandla...
 
Vifo vya watu wa familia, vifo vya watu maarufu, taarifa za kuhitajika oxygen Mwanza Bugando na KCMC.

Kwa nini serikali haitoi data?
Kuna vitu vinahitaji uchunguzi na maelezo ,mfano wewe unaelewa nini kuhusiana na huo uhitaji wa oxygen katika hizo hospitali hadi tuone huo uhitaji ni kwa sababu ya corona au kuhusisha corona?
 
Hivi humu ndani kuna mtu asiyejua vifo? Kwani vifo havikuwepo kabla ya corona? Wasichokijua wengi ni kuwa vipimo vya corona hutoa false positive nyingi kwa lengo la kuleta hofu katika jamii. Viongozi wetu wanalijua hilo. Usidhani kuwa wewe una akili na upeo kuwapita wao. Pili, hakuna vifo vya corona ila kuna vifo vya wenye corona. Mwenye corona akifa si lazima kuwa kifo chake kimesababishwa na corona, bali alikufa akiwa na corona!! Mtu yeyote akifa ndani ya siku 28 tangu agunduliwe kuwa na corona anahesabiwa kuwa alikufa akiwa na corona na si lazima kuwa corona ndiyo iliyosababisha kifo chake.
Kama unataka data za corona, taka pia za ukimwi, malaria, kansa nk. Nakushauri nenda ukasomee udaktari maana wao ndio hutumia takwimu kuandaa sera mbali mbali za afya! Ukome kutaka kututisha kwa data za kupikwa kupitia vipimo vilivyoandaliwa kutoa false pisitive na mabeberu wanaoifanyia biashara corona!
 
Jamaaa anatoa Amri hapo hana hata mtaa anaotawala..akiwa Raisi si itakua shida.any way kateleza..tuendelee kujipanga na Safari ya Burundi.
 
Uli imply kuwa vifo ni vichache. Usisogeze magoli.

Tumepoteza zaidi ya mwaka tukijifanya mbuni. Muda wa ushawishi wa hoja utaendana na ulazimisho wa chanjo. Hatuna muda wa kubishana na watu ambao wanaamini juice za NIMR zinatibu Corona. Juzi juzi kaibuka mwingine kutoka Mweka akiuza dawa ya Corona. Hao charlatans hatuna matatizo nao bali tunabishana na chanjo inayotumiwa na mamilioni ya watu duniani. Wahindi walibisha, na tumeona yaliyowapata. Brazil nao hivyo hivyo.

Amandla..
 

Hata hayo mambo ya takwimu za vifo vya corona hayana uhalisia huo tunaofikiria.
 
Wanaufipa bila KIKI hamna watu palee. Sasa mumetambua kuwa jamaaa yenu nikanjanja kabisaaaa.
 
CHADEMA na Mbowe wote ni wapumbavu, wewe kama unataka chanjo bc tuliza hilo wezere subiri hy chanjo na sio kusema ni lazima.
We mpare,ikitangazwa chanjo ya UKIMWI hautachanja?hautataka iwe ni haki kila mtu apate chanjo?

Hujafiwa na mtu kwa korona ndio maana unaleta mzaha katika afya.
 
Wapi nimeandika vichache? Una bias yako kichwani inakufanya ushindwe kusoma kwa ufahamu, mtu akiandika "si vingi sana" unasoma vichache.

Hujui kwamba inawezekana vikawa si vingi sana wala si vichache.

Wewe unashindwa kusoma kwa ufahamu, unaona extremes tu, kwamba "kama si vingi sana, basi ni vichache".

This is logical non sequitur.

Nakwambia hivi, maadili ya kitabibu yanakataza kulazimisha chanjo, ndiyo maana chanjo zina consent.Tena si chanjo tu, hata medical procedures kubwa zozote.

Kwa nini unataka kupingana na ethics za utabibu?
 
Sasa kama takwimu hazina uhalisia, utalazimisha watu wachanjwe kwa msingi gani?
Nimejikita kwenye takwimu za vifo vya corona na ndio nimekuwekea link ya video yenye kuelezea hivi vifo vya covid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…