Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ulivyoandika sijajua kama hilo ni swali au statement. Sijui kama una afiki chanjo za lazima au huafiki.Tukiangalia majirani zetu ambao wana hizo chanjo bado wanaendelea kuzuia watu kutoka nje wanafunga mashule na vitu kama hivyo, sasa sisi ambao ndio tumeichia tu kabisa nchi ijae maambukizi ndio tumeelekeza nguvu zote kwenye chanjo yani ndio tunaamini tutachoma watu vya kutosha kuzidi hao majirani zetu na kuona mafanikio ya chanjo.