#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

#COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

Tukiangalia majirani zetu ambao wana hizo chanjo bado wanaendelea kuzuia watu kutoka nje wanafunga mashule na vitu kama hivyo, sasa sisi ambao ndio tumeichia tu kabisa nchi ijae maambukizi ndio tumeelekeza nguvu zote kwenye chanjo yani ndio tunaamini tutachoma watu vya kutosha kuzidi hao majirani zetu na kuona mafanikio ya chanjo.
Ulivyoandika sijajua kama hilo ni swali au statement. Sijui kama una afiki chanjo za lazima au huafiki.
 
Ulivyoandika sijajua kama hilo ni swali au statement. Sijui kama una afiki chanjo za lazima au huafiki.
Najaribu kutizama ni vp tutaweza kuona mafanikio ya chanjo kwa haya mazingira yetu bila kujali kama ni hiari au kwa kulazimisha.
 
Uhuru wa Maoni ni haki ya kikatiba, Mbowe katoa ya kwake na chama chake, Karume katoa ya kwake... Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.. Hapo ndo nchi itaenda
Mwenyekiti wa kudumu

Hapo ndio chadema itaenda
 
Najaribu kutizama ni vp tutaweza kuona mafanikio ya chanjo kwa haya mazingira yetu bila kujali kama ni hiari au kwa kulazimisha.
Tatizo ugumu utakuja sababu ya Brainwash iliyofanywa na shujaa. wabongo wameidharau kabisa hii chanjo
 
Najaribu kutizama ni vp tutaweza kuona mafanikio ya chanjo kwa haya mazingira yetu bila kujali kama ni hiari au kwa kulazimisha.
Kwa nini hujali kama chanjo ni hiyari au ya kulazimisha wakati chanjo ni lazima iwe ama ni hiyari ama ya kulazimisha?
 
Kwa nini hujali kama chanjo ni hiyari au ya kulazimisha wakati chanjo ni lazima iwe ama ni hiyari ama ya kulazimisha?
Kama nilivyosema kwamba nilikuwa naangalia lengo la hizo chanjo kwa kutizama na mazingira yetu ila leo ndio nimejua kuwa Tanzania chanjo ni kwa ajili ya wanaotaka kusafiri, hilo ndio lengo kuu.
 
Kama nilivyosema kwamba nilikuwa naangalia lengo la hizo chanjo kwa kutizama na mazingira yetu ila leo ndio nimejua kuwa Tanzania chanjo ni kwa ajili ya wanaotaka kusafiri, hilo ndio lengo kuu.
Bado hujajibu swali.

Kwa sababu swali haliondoki hata kwa hao wanaotaka kusafiri.
 
Hawa Chadema kila kitu n kupinga tu hawaelewek n fata upepo Kama serikal ingesema chanjo n lazima bado wangekuja kupinga vikali na maandamano juuu
 
Kwa nini unafikiri inawezekana sijaelewa?
Kwa sababu nimesema kuwa nachozungumzia mimi hapa ni aina ya mazingira yetu na lengo la hizo chanjo bila kujali iwe kwa hiari au lazima, ila sasa wewe unaniuliza kwanini sijali chanjo kuwa hiari au lazima kitu ambacho sijasema hivyo ndio maana nadhani hujanielewa.
 
Hujali au unajali kama chanzo ni hiyari au lazima?

Hii ni mada kuu ya uzi huu.
 
Mimi nimechangia nilichochangia kwenye hii mada na sijatoka nje ya mada.
Kama huja address suala la kujali au kutojali ikiwa chanjo ni lazima, huja address suala lililo katika heading ya uzi.

Labda ni kweli hujatoka nje ya mada, kwa kuwa hujawahi kuingia ndani ya mada.
 
Kama huja address suala la kujali au kutojali ikiwa chanjo ni lazima, huja address suala lililo katika heading ya uzi.

Labda ni kweli hujatoka nje ya mada, kwa kuwa hujawahi kuingia ndani ya mada.
Nakuuliza tena, nilichochangia humu umekielewa au hujakiona kabisa? mada haijauliza swali au kutaka kujua kama nakubali au kukataa uhiari au ulazimishaji chanjo.

Mimi nimeeleza kwanini chanjo ikiwa hiari au hata tukilazimisha bado haitoleta tija sana ila wewe unataka nichangie unavyotaka wewe kwamba niseme ni iwe lazima au hiari.
 
Acheni unafiki nyie watu, watanzania wote mna alama ya chanjo begani zile zilikuwa hiyari?
Kuna Wahadzabe kibao na watu wa vijijini hawana chanjo.

Na kitu kufanyika awali hakukihalalishi kufanyika tena just because kilifanyika awali.

Two wrongs do not make a right.

Mtu akibakwa mara moja utasema hilo linahalalisha abakwe tena?

Akivunjiwa nyumba yake na kuibiwa bila hiyari yake mara moja, utasema avunjiwe nyumba na kuibiwa tena kwa sababu alishawahi kuvunjiwa nyumba na kuibiwa hapo awali?

I get it.Chanjo muhimu. Elimisheni watu wakubali kuchanja. Msilazimishe.

Mkilazimisha mnaongeza conspiracy theories dhidi ya chanjo tu.
 
Acheni unafiki nyie watu, watanzania wote mna alama ya chanjo begani zile zilikuwa hiyari?
Hizi tulizonazo begani zimepitia hatua zote za Kisayansi tofauti na hizi za korona.
 
Back
Top Bottom