Ulivyoandika sijajua kama hilo ni swali au statement. Sijui kama una afiki chanjo za lazima au huafiki.Tukiangalia majirani zetu ambao wana hizo chanjo bado wanaendelea kuzuia watu kutoka nje wanafunga mashule na vitu kama hivyo, sasa sisi ambao ndio tumeichia tu kabisa nchi ijae maambukizi ndio tumeelekeza nguvu zote kwenye chanjo yani ndio tunaamini tutachoma watu vya kutosha kuzidi hao majirani zetu na kuona mafanikio ya chanjo.
Najaribu kutizama ni vp tutaweza kuona mafanikio ya chanjo kwa haya mazingira yetu bila kujali kama ni hiari au kwa kulazimisha.Ulivyoandika sijajua kama hilo ni swali au statement. Sijui kama una afiki chanjo za lazima au huafiki.
Mwenyekiti wa kudumuUhuru wa Maoni ni haki ya kikatiba, Mbowe katoa ya kwake na chama chake, Karume katoa ya kwake... Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.. Hapo ndo nchi itaenda
Tatizo ugumu utakuja sababu ya Brainwash iliyofanywa na shujaa. wabongo wameidharau kabisa hii chanjoNajaribu kutizama ni vp tutaweza kuona mafanikio ya chanjo kwa haya mazingira yetu bila kujali kama ni hiari au kwa kulazimisha.
Kwahiyo kama si hivyo ingewezekana kuchanja nchi nzima?Tatizo ugumu utakuja sababu ya Brainwash iliyofanywa na shujaa. wabongo wameidharau kabisa hii chanjo
Kwa nini hujali kama chanjo ni hiyari au ya kulazimisha wakati chanjo ni lazima iwe ama ni hiyari ama ya kulazimisha?Najaribu kutizama ni vp tutaweza kuona mafanikio ya chanjo kwa haya mazingira yetu bila kujali kama ni hiari au kwa kulazimisha.
Kama nilivyosema kwamba nilikuwa naangalia lengo la hizo chanjo kwa kutizama na mazingira yetu ila leo ndio nimejua kuwa Tanzania chanjo ni kwa ajili ya wanaotaka kusafiri, hilo ndio lengo kuu.Kwa nini hujali kama chanjo ni hiyari au ya kulazimisha wakati chanjo ni lazima iwe ama ni hiyari ama ya kulazimisha?
Bado hujajibu swali.Kama nilivyosema kwamba nilikuwa naangalia lengo la hizo chanjo kwa kutizama na mazingira yetu ila leo ndio nimejua kuwa Tanzania chanjo ni kwa ajili ya wanaotaka kusafiri, hilo ndio lengo kuu.
Umeelewa nilichokuwa nazungumzia?Bado hujajibu swali.
Kwa sababu swali haliondoki hata kwa hao wanaotaka kusafiri.
Kwa nini unafikiri inawezekana sijaelewa?Umeelewa nilichokuwa nazungumzia?
Kwa sababu nimesema kuwa nachozungumzia mimi hapa ni aina ya mazingira yetu na lengo la hizo chanjo bila kujali iwe kwa hiari au lazima, ila sasa wewe unaniuliza kwanini sijali chanjo kuwa hiari au lazima kitu ambacho sijasema hivyo ndio maana nadhani hujanielewa.Kwa nini unafikiri inawezekana sijaelewa?
Hujali au unajali kama chanzo ni hiyari au lazima?Kwa sababu nimesema kuwa nachozungumzia mimi hapa ni aina ya mazingira yetu na lengo la hizo chanjo bila kujali iwe kwa hiari au lazima, ila sasa wewe unaniuliza kwanini sijali chanjo kuwa hiari au lazima kitu ambacho sijasema hivyo ndio maana nadhani hujanielewa.
Mimi nimechangia nilichochangia kwenye hii mada na sijatoka nje ya mada.Hujali au unajali kama chanzo ni hiyari au lazima?
Hii ni mada kuu ya uzi huu.
Kama huja address suala la kujali au kutojali ikiwa chanjo ni lazima, huja address suala lililo katika heading ya uzi.Mimi nimechangia nilichochangia kwenye hii mada na sijatoka nje ya mada.
Nakuuliza tena, nilichochangia humu umekielewa au hujakiona kabisa? mada haijauliza swali au kutaka kujua kama nakubali au kukataa uhiari au ulazimishaji chanjo.Kama huja address suala la kujali au kutojali ikiwa chanjo ni lazima, huja address suala lililo katika heading ya uzi.
Labda ni kweli hujatoka nje ya mada, kwa kuwa hujawahi kuingia ndani ya mada.
HA HA HA HAANdugu andika kwa kuweka paragraph kuficha ujinga wako uliotukuka
Acheni unafiki nyie watu, watanzania wote mna alama ya chanjo begani zile zilikuwa hiyari?Uthibitisho mwingine wa udikteta wa Mbowe na kutokujali kwake haki za binadamu.
Kuna Wahadzabe kibao na watu wa vijijini hawana chanjo.Acheni unafiki nyie watu, watanzania wote mna alama ya chanjo begani zile zilikuwa hiyari?
Hizi tulizonazo begani zimepitia hatua zote za Kisayansi tofauti na hizi za korona.Acheni unafiki nyie watu, watanzania wote mna alama ya chanjo begani zile zilikuwa hiyari?