Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Ukiingia mitandaoni ndo utajua wale waliokuwa wapiga mapambio kwa Samia ni wapinzani ambao hata hawawezi kumpigia kura Samia 2025

Endeleeni na mapambio mpk tumalize misa mwaka 2025😂😂😂😂
 
Mna genge lenu la ugaidi kuua viongozi, imejulikana na mtanyooshwa.
Na mtu aliyekuwa analiongoza mlikuwa mnamuangalia tu mpaka alipofanya mkutano Mwanza? Kwa nini msishitakiwe kwa kuhatarisha maisha ya viongozi kwa kumuachia kiongozi wa magaidi aendelee na mipango yake ya kuua viongozi wetu bila kumchukulia hatua? Na iyakuwa vyema vilevile tukifahamishwa ni viongozi wangapi amewaua au amejaribu kuwaua.

Amandla...
 
Hakuna ms.enge yeyote wa Chadema atakayekwenda kumkomboa Mbowe, watabaki wanahaha tu mitandaoni kwani wanajuwa wakifanya kinyume na hapo nao wanakwenda kuolewa jela na kunyea ndoo. Sitoshangaa kwa wanaharakati wa Tanzania kuanza kumkashifu Mbowe kwa sababu wanajuwa anakwenda kuolewa jela, tuna wanaharakati wapuuzi sana hapa nchini kwetu. Jana eti Lissu anawaamasisha wananchi wa Mwanza waingie mtaani kuandamana kudai katiba wakati yeye yuko Ulaya anabinywa pumbu na wazungu, kama siyo usenge huu ni nini? Kama kweli yeye ni mwanamme haswa, kwanini asirudi hapa Tanzania kuja kuandamana na wananchi wa Mwanza?
 
Mijitu inayojifanya haijui siasa takataka za Bongo napata tabu Sana kuwaelewa..kwa Nini hawakumkamata kabla ya kongamano la KATIBA
Wapigie simu uwaulize, utakua uneamua kuwa mpumbavu kwa hiari yako, hujasikia taarifa ya polisi kuwa mbowe alikua na taarifa atatakiwa muda wowote akaitumia fursa ya kujihusisha na kongamano ionekane
hivi umemsikiliza mtu wa polisi alihosema kuhusu mbowe kufanya timing? Wewe endelea na upumbavu wako wa kuzaliwa. Sina cha kukuambia...
 
Tena huko jela masela watakua wana usongo nae sana..
 
[emoji106]
 
WANAUFIPA INJE NA MATUSI HAKUNA KINGINE WANAFIKILIA. HIVI HAMUINI AIBU KUITWA KIWANDA CHA MATUSI?? KILA POST ZENU NYINYI NIKUPOST MATUSI TUUU. AU MNAMATATIZO GANI??
Unasoma post zipi wewe? Kuna mtu anatukanwa humu kama Mbowe? Vijana WOTE mmekuwa viwanda vya matusi. Na uzuri ni kuwa JF ya leo inawaruhusu pande zote mtukane matusi ya nguoni kadri mnavyopenda. Inasikitisha sana.

Na hizo herufi kubwa ni za nini? Unamfokea nani?

Amandla...
 
Na kila wanachosema polisi ni kweli? Kama ada, unakimbilia matusi. JF kweli imeingiliwa.

Amandla...
 
Kumbaf mwenyewe.
 
UFIPA BILA MATUSI HAMNA KIKUNDI PALE. KILA POST ZENU ZOTE LAZIMA MPOROMOSHE MATUSI. HIVI HAMNA SERA MBADALA, MPAKA MTUKANANE TUUU???
 
Kuwa na adabu shngazi huyo si tu Mwanamke ni Rais, Amri jeshi wa Majeshi yote nchini.
Hadi fire,
Hata Mwinyi alitandika watu uliza issue ya kitimito n udini watu walipigwa chuma. Tena hapo kisa ni maini ya nguruwe tu yaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…