mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Deni ni deni tu, bado Musiba ana deni kwa familia ya marehemu. Kwahiyo punguzeni furaha zenu Membe kaondoka ila deni lipo pale pale, wana familia wa marehemu wanataka urithi wao!!!!!Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera
Akijitokeza mwingine kudai hizo fedha za jasho la Musiba naye anatandikwa msiba. Jaribuni muoneKuna watu sijui wanatumiaje akili zao kwenye kuwaza. Musiba zile hela atazilipa tu na yeye wala yeyote yule hana cha kufanya kwenye uhai wa mtu.
Wacha tisha toto wewe!Akijitokeza mwingine kudai hizo fedha za jasho la Musiba naye anatandikwa msiba. Jaribuni muone
Yaani Anamtisha Fatuma Karume AsimdaiUnamaanisha??
kweli kabisa hasa sukuma gang, washamba ni washamba tu hawastaarabikagi. Watu wa maana wamekimbia.
Bil 9? Puumbavu, katafunwa na KarmaNi zamu yake imefika tu,hayo mengine ni hisia tu za walimwengu
NakaziaWacha tisha toto wewe!
Ajaribu ... ha ha haaaYaani Anamtisha Fatuma Karume Asimdai
Nakuambia halipi. Niamini mimi sasa.Kuna watu sijui wanatumiaje akili zao kwenye kuwaza. Musiba zile hela atazilipa tu na yeye wala yeyote yule hana cha kufanya kwenye uhai wa mtu.
Ni maskhara tu...Akijitokeza mwingine kudai hizo fedha za jasho la Musiba naye anatandikwa msiba. Jaribuni muone
Maisha ya Kila mwanadamu anayapanga Mungu, Fatuma kama anachodai ni haki yake sidhani kama nahitaji kuwa na hofu Bali kuipambania iliyo haki yakeBaada ya Membe ambaye aligoma kusamehe deni la Musiba kufariki. Je hii inaleta ujumbe gani kwa Fatma Karume?
Inawezekana kabisa akajifunza kitu. Kuwa kudai pesa nyingi pia si salama kwa afya. Musiba amekuwa musiba kweli kweli. Nadhani sasa watu wataanza kugundua si kila mtu hivyo.....
Membe amekufa kwa kubanwa na kifua. Ni magonjwa ambayo yapo kabisa. Wala si ugonjwa mpya. So nashangaa je.... Fatma Karume haoni ni nafasi naye afunike kombe lake mwanaharamu apite? Je naye ataendelea kudai na kutaka mali ambazo Musiba kazipata kwa jasho zipotee?
Musiba ni Kachero mbobezi siyo bwege kama mnavyodhani.
Ukiona mwenzio ananyolewa....
Angekuwepo hai mtu wenu ndiyo asingelipa. Hii atalipa TU.Nakuambia halipi. Niamini mimi sasa.
Tuliza kipago wewe nyau.JF imevamiwa Sana now days ujinga unakusumbua
Membe alikuwa dreva kwenye ubalozi wetu kule USA hivyo ni kachero wa kawaida tu.Unataka kusema musiba ni kachero kuzidi kachero Membe,basi hujum mtu kachero maana yake nn
Nawewe tukana ili ukidaiwa usamehewe.Pesa alidai Kwa kukomoa na chuki za kishetani kabisa na lengo la kumkomoa msiba ni Kwa sababu ya ukarbu wa Msiba na Maghufuli , moja ya kesi ya kihuni Sana na ya uonevu mkuuu, Mungu ameamua kumshusha huko huko Ahera
Wewe nyau.... Deni halilipwi. Mi ndo nakuambi sasa. Na ukikomaa kichwa tusije laumiana hapo baadayewe ni kichaa km ID yako ilivyo. Deni lazima alipe huyo zuzu wako Musiba. Kufa ni kufa tu hakuna uhusiano na deni. We poyoyo unafikiri km angekufa Musiba deni halitalipwa? Kifo siyo excuse ya kutotimiza wajibu, wapo watakaobaki duniani, watalipa km ni deni, na watalipwa wategemezi wako km utakufa wewe. No excuse hapo.